mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA na mbunge wao mmoja wa jimbo (Aida Khenan - Nkasi - Rukwa) na wale wa viti maalumu + madiwani

    Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda".. Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa.. Magufuli na CCM pamoja...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini. Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa cheo chake ndani ya CHADEMA, sasa Halima Mdee atakuwa Bungeni kama Mbunge Huru. Tutarajie nini?

    CHADEMA inakidhi vigezo vya kupata uwakilishi wa viti maalum maana imepata zaidi ya asilimia 5 ya kura za ubunge. Kutokana na muongozo liwake jua ama mvua Josephati Gwajima anaenda kukutana na Halima Mdee Bungeni kama Mwenyekiti wa BAWACHA. Mbaya zaidi atakuwa mbunge huru asiye na jimbo la...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa tofauti ya mbunge wa viti maalum na mbunge wa kuchaguliwa

    Na je maslahi yao yanatofautiana? Na kila chama kinatoa wabunge wangapi.
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

    Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini nitasikitika na kufurahi kwa pamoja wapinzani wa kweli wakikosa mbunge hata mmoja?

    Kwanza nitasikitika kwasababu naipenda nchi yangu hivyo Kama mzalendo na agent wa maendeleo siwezi kufurahi kuona nchi yangu inadumaa kwa kukosa mawazo mbadala. Pili nitafurahi wapinzani makini wakikosa wabunge ambao miaka yote ndio wamekuwa wasemaji wakubwa wa shida za wananchi lakini wananchi...
  11. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake. Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu...
  12. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

    Nimesikia kutoka BBC kuwa Maafisa wa Uchaguzi na wanausalama wamepiga kura leo kwa sababu kesho watakuwa bize. Kumbuka kuwa kesho kutakuwa na uchaguzi wa NEC. Kwa hiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya leo ya mapema, kesho hawatapiga kura ya rais na mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa bize...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

    Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi. Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM. Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ukisema: "Ili nilete Mradi wa maji hapa jimboni ni lazima Mnichagulie Mbunge kutoka chama changu." Hapo umewagawa Watanzania na hufai kuwa Rais wetu

    Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa. Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo . Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine. Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa Samia aliposema hata tukimchagua Tundu Lissu CCM itaendesha serikali. Usipigie kura mbunge wa upinzani

    Wote hamkumwelewa Samia, Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili. Hali iko hivi. Samia...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

    “Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo” "Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata...
  18. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madaraka na Wajibu wa Mbunge kwa mujibu wa Katiba

    Katiba ya Tanzania ya mwaka 1997, inaeleza majukumu ya mbunge kwa jimbo lake kama ifuatavyo:- (a) Kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake. (b) Kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea 1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na Zitto...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi Job Ndugai huchaguliwa kuwa Mbunge kwa maslahi ya nani?!

    Kwa members wanaoijua wilaya ya Kongwa ikiwemo CCM mtakubaliana na mimi mia kwa mia. Kwa wale ambao hamjawahi kufika huku basi pateni simulizi hapa. Nimezuru wilaya ya Kongwa leo na kujionea hali halisi ya Wilaya hii. Hali hii imenitia simanzi sana lakini baadae nikajisemea hivi namuonea...
Back
Top Bottom