Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi.
Rais Magufuli...
Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni
=======
Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa amesema:
"Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Tuna Sheria ya Utumishi wa...
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora...
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huo...
Nami natia neno kwenye kauli ya spika Ndugai. Kama mwalimu mmoja anaweza kufundisha masomo matano basi mbunge mmoja pia anatosha kuwakilisha mkoa mzima.
Hakuna haja ya kuwa na wabunge 400 kasoro. Wakati huku chini kuna madiwani na wakurugenzi wa halmashauriri hawa ndio wanaojua changamoto za...
Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.
Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Bi. Yustina Rahhi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM, Rahhi ameteuliwa kufuatia kifo cha Mhe. Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa CCM Viti Maalum.
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu...
Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19.
Ni jambo jema.
Maendeleo hayana vyama!
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi.
Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni.
Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge.
Wasaidizi hao...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii.
Taarifa zaidi:
Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
Sitaki kuongea mengi kuhusu suala la watu wengi hapa Tanzania sasa kutamani kufanya kazi ya siasa na hasa kuwa Mbunge.
Na ukitazama vizuri utagundua kuwa hii ndo siri kubwa ya kujitokeza kwa WATIA NIA ( Wagombea Ubunge wengi katika kura za maoni za CCM mwaka jana kuvunja rekodi).
Watu wengi...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia
Thursday January 21 2021
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu.
Martha Jachi Umbulla (amezaliwa 10 Novemba 1955) ni mwanasiasa...
Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi amemaliza changamoto ya Umeme, Maji na Choo katika Soko la Chita jimboni humo baada ya kutoa Sh Milioni 1.5.
Mbunge wetu wa Mpwapwa unaona wabunge wenzako wanavyosonga mbele serikali itawafuata nyuma wewe umebaki kuitisha misa tu badala ya...
Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.
Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili...
Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria.
Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.
Jafo amelikabidhi suala hilo Takukuru.
chanzo: Clouds tv
My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na...
Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Ipo idadi kubwa sana ya Watanzania ambao wameajiriwa katika sekta binafsi, na kama tunavyofahamu, mara nyingi sekta binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.