Mbunge wako ana sifa ya Uwaziri?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu Mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizi ya vetting na Kusubiri sub.

Kulingana na unavyomfahamu mbunge wako, je anafaa kuwa Waziri? Wazir wa nini? Au naibu waziri wa nini?

Mimi natoka kwa Mwanyika, anafaha kuwa Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ajifunze na aongoze chini ya uangalizi...lakini pia naishi Kawe, mbunge wa sasa hafai kwa nafasi yoyote yakuongoza watu anafaa kuendelea kulihudumia kanisa.

Wewe huko kwako kuna mwanga?
 
Uwaziri kwenye awamu hii unategemea mteuzi anavyokufahamu au anavyowafahamu wazazi wako , haiangalii uwezo wa mtu , hebu niambie Mtu kama Bashungwa ana uwezo upi wa kuwa Waziri ?

Kuna polisi hadi leo hawaamini kama Lugola alikuwa Waziri wao

SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Kwa awamu hii,kama wameweza kuwa wabunge,basi hata kuwa rais wanaweza.
Kwa awamu hii lakini.
 
Uwaziri kwenye awamu hii unategemea mteuzi anavyokufahamu au anavyowafahamu wazazi wako , haiangalii uwezo wa mtu , hebu niambie Mtu kama Bashungwa ana uwezo upi wa kuwa Waziri ?

Kuna polisi hadi leo hawaamini kama Lugola alikuwa Waziri wao

View attachment 1648042
Hata mimi siamini kiukweli kama Lugola alichaguliwa na kuwa waziri tena wizara nyeti,kuna vitu Jiwe anashangaza sana.
 
Mpaka sasa sielewi elewi ametokea wapi mpaka kufikia naibu kipaza sauti?. Ni sawa yule nikajiuliza amefikaje kuwa waziri wa noti?. Ikapigwa escrow mbele yake?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini...natumaini mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizu ya vetting na KUSUBIRI sub

Kulingana na unavyomfahamu mbunge wako, je anafaa kuwa Waziri? Wazir wa Nini? Au naibu waziri wa Nini?

Mimi natoka kwa Mwanyika, anafaha kuwa Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ajifunze na aongoze chini ya uangalizi...lakini pia naishi Kawe, mbunge wa sasa hafai kwa nafasi yoyote yakuongoza watu anafaa kuendelea kulihudumia kanisa.

Wewe huko kwako kuna mwanga?
Mimi wangu si tu kwamba ana Sifa ya kuwa Waziri lakini hata kama Taifa litataka Mcheza Filamu za Utupu na Kuwatapeli Waumini atafiti vizuri tu.
 
Mimi wangu si tu kwamba ana Sifa ya kuwa Waziri lakini hata kama Taifa litataka Mcheza Filamu za Utupu na Kuwatapeli Waumini atafiti vizuri tu.
Hiyo dhihaka haikusaidii, kwa Sheria ya kazi hiyo ni jinai na hairuhusiwi. Utofauti wa kisiasa usiwafanye kuwa watu wa namna hiyo
 
Back
Top Bottom