Je, iwapo Spika ni Mbunge ni wakati gani anakula kiapo cha Ubunge mbele ya Bunge?

Mkuu,
Yaani kuishi Tanzania ni kuona mengi,
Mbona ubaleta swali la uchochezi?
Watakuelewa kweli?

Maigizo juu ya Maigizo .
 
Ngoja wajuzi waje🐵🐵🐵🐵🐵🐵🐵🐵🐵🦍🦍🦍🦍🦍🦍🦍
 
  • Thanks
Reactions: AMG
... atakuwa alishajiapisha mwenyewe huko kwenye vyoo vya Bunge. Katiba haisema kwamba lazima muoneshwe live; kama una hicho kifungu kiweke hapa.
 
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.

Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?

Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.

Maendeleo hayana vyama!
Keep quiet! Nchi hii haina sheria wala katiba, katiba/sheria ni kauli ya mtu mmoja JIWE/DPP
 
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.

Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?

Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.

Maendeleo hayana vyama!
Hata lisipoapa nani ana shida nalo?
 
Viapo vilikuwa na maana zamani, nani anazingatia kiapo sasa hivi? Mtu anaapa anavyojisikia tofauti na kiapo kilivhoandikwa halafu anasifiwa?
 
Back
Top Bottom