mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aishukuru Serikali kwa kuanza utekelezaji wa miradi ya umeme Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN na DENSIFICATION yenye jumla ya gharama ya Tsh 68bn, ambayo itayafikia maeneo zaidi ya 120 katika...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

    Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo. Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya. Mungu ibariki Tanzania.
  3. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina amamkumbuka na kumlilia Hayati Dkt. Magufuli

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilayani Meatu mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amemlilia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimtaja kama kiongozi wa mfano na kielelezo barani Afrika katika kuleta maendeleo na kushughulikia kero na matatizo ya wananchi yaliyoshindikana kwa miaka mingi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

    Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6. Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya? Kila kitabu na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

    Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu. Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa. Hao niliowataja unapofika...
  6. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge wa azindua runinga iliyotundikwa ukutani

    Kesses Member of Parliament in Uasin Gishu county, Swarup Mishra, nicknamed Arap Chelule, has sparked mixed reactions online after launching a television set in a rib cutting ceremony. The event was conducted at Cheplaskei peace centre in his constituency under the full glare of cameras...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

    Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake. Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima. Chanzo: Upendo TV Maendeleo hayana...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Wananchi tunataka haki ya kumuondoa mbunge asiyefaa kabla hajamaliza muda. Kwanini wana-CCM wasiopenda haki mnaipinga?

    Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge anatolewa kwenye nafasi hiyo na uchaguzi unaitishwa. Wabunge wengi wanaunga mkono sera na hoja ambazo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

    Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake. Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Lukuvi tembelea na Ununio beach kuna ushuru unatozwa kuanzia Halima Mdee alipokuwa Mbunge

    Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru. Maendeleo hayana vyama.
  17. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Kisichoeleweka kwa wadau kuhusu mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood

    Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo na sababu ya CCM kumsimamisha kama mbunge huku wakijua ameua viwanda Abood amesimamishwa kwa mara...
  18. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbunge wa Muhambwe kufariki. Je, CHADEMA washiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo au wapotezee?

    Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki? Maoni yako ni yapi?
  19. Requal

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huu ni Unafiki wa kisiasa, Mwenyekiti wa CCM hukuona kuwa Mbunge wa Morogoro hafai?

    Wana Jf leo mbunge wa Morogoro mjini amebagazwa vibaya sana,kama ni mtu una roho ndogo basi mpaka wakati huu angekuwa ameandika barua ya kujiuzulu. Maana hata kama ni kupeana makavu sio kwa namna hii. Lakini, Je mwenyekiti wa Ccm hakujua kuwa anampitisha kugombea ubunge mtu ambae alinunua...
Back
Top Bottom