Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.

Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama

Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM.

Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio (ungamo)

Mungu awabariki nyote!
 
Wilaya ya Kisarawe ilianzishwa siku moja na Nairobi, hadi leo Kisarawe wanakunywa maji ya tope, na barabara hamna. Hawajawahi kuwa na hata balozi wa nyumba kumi kutoka Chadema. Unaliongeleaje hili? Au nikupe mfano wa Jimbo lingine?
Kisarawe kule kwa akina Kingwendu wa CUF?!!
 
Jaffo ndio mbunge usikimbie, kule wanakosa gani hadi muwape maisha ya kimasikini na mateso namna ile?
Kwa sasa Kisarawe kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda labda wewe unaizungumzia Kisarawe ya Janguo siyo hii ya Jokate!
 
Back
Top Bottom