Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.
Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia...
Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu.
Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini...
Mbunge wa Kishapu, Suleiman Masoud Nchambi ameshitakiwa kwa makosa 12 ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga ambapo kesi hiyo imetaja kusikiliza tena siku ya Jumatatu Mei 11, 2020 na mtuhumiwa amerudishwa rumande.
Nchambi alikutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyama za...
aliyekuwa Mbunge wa wawi kupitia CUF ndugu Ahmedi Juma Ngwali ambaye hivi karibuni mwezi wa march 2020 alihamia ccm naye pia arejeshwe Bungeni kama alifanyiwa cecil Mwambe
Soma > Zanzibar: Mbunge wa jimbo la wawi Mohammed Juma Ngwali (CUF) ajivua uanachama wake na kujiunga na CCM - JamiiForums
Tume ya Uchaguzi ( NEC) ndio husimamia na kuendesha chaguzi za Rais, wabunge na madiwani.
Vyama vya siasa ni wadhamini tu wa wagombea ambao kwa mujibu wa katiba ni lazima wawe wanachama wa vyama vya siasa.
Bunge kama muhimili ni chombo cha Wananchi ambacho hupokea majina ya wabunge ama wa...
Kuna anayefikiri kama mimi?
1. Walipoondoka bungeni spika alifurahi na kusema hata wasipokuwepo ccm wanatosha kupitisha mambo yao na cdm hawana madhara yoyote na hawajavunja sheria wala kanuni yoyote.
2. Akaja Rais Magufuli akaonyesha kuumia sana kwa wao kuondoka akatoa amri wasilipwe posho...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali
==
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali.
Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano.
Chanzo: Channel ten!
Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .
Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.
Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi...
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge
Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la...
Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP.
Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA...
Spika wa bunge mh Ndugai amesema endapo mbunge yoyote anajihisi au atajihisi ana dalili za maambukizi ya Covid 19 kama zilivyoainishwa na wataalamu wa afya basi ajifanyie self isolation na kuripoti hospitali haraka sana.
Spika Ndugai ametoa mwongozo na tahadhari hiyo Bungeni leo hii na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.