Mbunge wa Ukonga hatukuoni jimboni, wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu

pombe kali

Senior Member
Jun 28, 2014
136
500
Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.

Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili kuongea na wananchi tunaona wabunge wa majimbo mengine wakiwa wanakwenda kwa mwendo wa kukimbia.

Sisi wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu, mvua ikinyesha huwa tunakuwa kisiwani na inatazimu wakati mwingine tusirudi makwetu hivyo mipango vyumba mijini ili tuwe maeneo ya karibu na sehemu za vibarua vyetu, hapa nazungumzia barabara ya kutoka Banana kwenda Kitunda, Kitunda-Kivule, Kitunda-Magole, Pugu-Majohe nk au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa?
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,637
2,000
Ile njia kichefuchefu sana. Barabara nzima kuanzia Banana mpaka Kitunda ni ya hovyo sana, wenye magari wanaendesha kwa mwendo wa 20 KPH. Kale kadaraja ka pale Matembele kanazidiwa na maji mvua ikinyesha hata dakika kumi tu, maji yanapita juu.

Kimsingi inatakiwa barabara nzima ifumuliwe kuanzia banana mpaka Kitunda, labda ili idumu iwekwe zege kama ile barabara ya Maji Chumvi inayotokea Kimara Korogwe, inayoanzia jeshini Mabibo.
 
pombe kali

Senior Member
Jun 28, 2014
136
500
5B496DD2-252E-427F-B0FA-1BA05E6945B0.jpeg

66CBBF80-EB52-44A4-8BB3-DB5D19DE13AA.jpeg
959680F5-3ED8-491C-88EF-D89EDD9EF35B.jpeg
D2B099D8-4F8E-4473-8D08-063397F12681.jpeg
D3EB83D0-E3A1-4B0C-85E1-C92160FF5F4D.jpeg
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,637
2,000
Ikumbukwe Hii ni barabara inayokwenda hosipitali ya wilaya (Ilala)
Ukiachilia mbali hilo la kwenda hospitalini, hii barabara inaunganisha mikoa ya Pwani na Dar kule Msongola. Nasikia Jerry Silaa akiwa Meya wa Ilala aliiondoa hii barabara kutoka Tanroads ana akairudisha ngazi ya manispaa. Sasa manispaa inashindwa kuihudumia kabisa.
 
Nyaubikra

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
233
500
Umesema kweli ndugu Mana me nmeondoka huko miaka miwili Sasa Niko mkoa wa Bujibuji huku nikiuliza jaman madaraja ya ulongoni na Mongolandege yamejengwa naambiwa tu soma uje ujenge.

Na nakumbuka mto wa msimbazi ukijaa ni tabu Sana kwa wakazi kupita kwenda mijini mpk wapitie njia panda segerea
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,317
2,000
^Ask not what your country will do for you, but what YOU WILL DO for your country!^ ~ JFK, 35th President of US
 
ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
415
500
Banana mpaka msongola barabara ni mbovu sana hasa kuanzia frem kumi mpaka msongola hata Pikipiki kupita ni Shida mashimo yamejaa maji kama mabwawa. Mbunge hata kuja kuona tu shida
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,539
2,000
Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.

Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili kuongea na wananchi tunaona wabunge wa majimbo mengine wakiwa wanakwenda kwa mwendo wa kukimbia.

Sisi wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu, mvua ikinyesha huwa tunakuwa kisiwani na inatazimu wakati mwingine tusirudi makwetu hivyo mipango vyumba mijini ili tuwe maeneo ya karibu na sehemu za vibarua vyetu, hapa nazungumzia barabara ya kutoka Banana kwenda Kitunda, Kitunda-Kivule, Kitunda-Magole, Pugu-Majohe nk au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa?
Kazi kweli! Mbunge mnatafuta mtandaoni!
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,581

Kwani mlimchagua? Uchafuzi = uchaguzi?
 
Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
6,208
2,000
Tuliambiwa tukichagua wapinzani hatuletewi maendeleo leo tumechagua cccm nchi nzima hakuna la maana..Hakuna mwanasiasa atakaekwenda mbinguni
 
Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,675
2,000
Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.

Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili kuongea na wananchi tunaona wabunge wa majimbo mengine wakiwa wanakwenda kwa mwendo wa kukimbia.

Sisi wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu, mvua ikinyesha huwa tunakuwa kisiwani na inatazimu wakati mwingine tusirudi makwetu hivyo mipango vyumba mijini ili tuwe maeneo ya karibu na sehemu za vibarua vyetu, hapa nazungumzia barabara ya kutoka Banana kwenda Kitunda, Kitunda-Kivule, Kitunda-Magole, Pugu-Majohe nk au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa?
Java-Nyantira ni bahari kabisaaa! Mbunge Upooo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom