Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
3,362
5,809
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
 
Usipende kujidanganya. Hakuna mbunge hata mmoja kwenye hili Bunge ambaye anawakilisha wananchi .

Wale ni wabunge wa MaDEDs, ni wawakilishi wa wakurugenzi wa halmashauri na Mahera. Bungeni ni wasemaji wa hilo kundi. Wapo sahihi sana kujadili hayo unayoyasikia.

Kiukweli mimi nawapongeza sana hao Wabunge
 
Katiba yetu hairuhusu jambo hilo.
Nakumbuka Mwalimu Nyerere alikemea jambo hilo,lakini na yeye alishutuka baada ya kuondoka madarakani.
Magufuli mwenyewe hataki kuongeza hata dakika mmoja.
 
Huyo ni version mpya ya kesi+nkamia

Ova

Mtaani kwako wananchi walio wengi tena wale wasiokosa kupiga kura wanasemaje?

Mimi huku kwangu niliwahi kutana na muuza matunda akawa na mawazo kama ya huyo mbunge, nikamuuliza sababu akanijibu rais amewanyoosha wababe.

Nikamuuliza unadhani wewe umepata faida gani kwa wao kunyooshwa? Akanijibu, tuheshimiane, sasa tuwe sawa!😅😅😅

Nikamwambia hayo unayotamani yeye rais ameshayakataa kwa hiyo wewe chapa kazi tuu kwaajili ya familia yako

Watanzania walio wengi mitazamo yao ni zaidi ya unavyowadhania
 
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Wabunge wa ccm hao, ndio ambao jamaa alitaka tumletee. Refer nileteeni gwaji, nileteeni gwajiii, nileteeni gwajiiiiiiiiiiiii
 
Ushasema ni uroho wa madaraka what if wanaagizwa kusema hivyo tulia usubiri wanavyotoana roho
giphy.gif
 
Wabunge wa ccm hao, ndio ambao jamaa alitaka tumletee. Refer nileteeni gwaji, nileteeni gwajiii, nileteeni gwajiiiiiiiiiiiii
Gwajima alikataa teknolojia ya 5G isiruhusiwe nchini kwa kuihusisha na mnyama 666. Kisha alikataa chanjo ya Covid_19
Huyo wananchi waliombwa wampe mkuu kama kifaa muhimu.
 
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
naomba radhi kwa niaba ya yake na wananjombe wote kwa kua mzee wetu hakupata muda wa kutafakari
 
Gwajima alikataa teknolojia ya 5G isiruhusiwe nchini kwa kuihusisha na mnyama 666. Kisha alikataa chanjo ya Covid_19
Huyo wananchi waliombwa wampe mkuu kama kifaa muhimu...
Kama unajua vizuri kazi za mbunge na kazi za rais/serikali utajifikilia mara mbili mbili rais kusistizia aletewe mbunge flan badala ya kuwaacha wananchi wenyewe waamue.
 
Usipende kujidanganya. Hakuna mbunge hata mmoja kwenye hili Bunge ambaye anawakilisha wananchi .

Wale ni wabunge wa MaDEDs, ni wawakilishi wa wakurugenzi wa halmashauri na Mahera. Bungeni ni wasemaji wa hilo kundi. Wapo sahihi sana kujadili hayo unayoyasikia.

Kiukweli mimi nawapongeza sana hao Wabunge
Mkuu upo sahihi! Hao wabunge wote wanajua kuwa wapo Bungeni kwa KUPELEKWA KWA AMRI ya huyo wanayetaka ATAWALE MILELE!
 
Mliambiwe mkaandamane mkasema waache waende wao na familia zao. Sasa wao wapo nje ya nchi wanakula bata sa hivi nyie mliobaki kwenye shithole mnazidi kunyooshwa. Hakuna mbunge kachaguliwa na wananchi, wamepachikwa pale na jiwe. Kaeni mnyooshwe mtajifunza na nyie kudai haki yenu jiwe litawakamua left and right hadi there’s nothing left
 
Back
Top Bottom