mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi

    Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa kupitia idadi ya watu ndipo tunaweza kupanga mambo mengine" Mbunge Sebastian Kapufi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kimei aishukuru klabu ya Rotary Mwika kushiriki maendeleo vunjo

    Na Mwandishi Wetu Vunjo. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini. Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania ATCL imeanza kupaa sana kimapato. Mbunge Zungu Ashauri serikali iige inachofanyiwa Ethiopian Airline na Serikali yao

    Toka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa ATCL KWA ASILIMIA 100 ilikuwa ikilipwa na serikali sasa hivi serikali inalipa asilimia 17 tu kiasi...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Ni kweli nakubali kuwa kusoma ( kuelimika ) sana siyo Kutusua ( Kufanikiwa ) Kimaisha kwani kama ingekuwa hivyo basi Mimi Generalist nisingekuwa na Maisha haya Duni ( ya Dhiki ) niliyonayo sasa kwa Elimu yangu hii ya haka ' tudigrii ' kangu Kamoja tu ninakokamiliki huu mwaka wa 12 sasa. Lakini...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilolo ahoji ni lini Serikali itashusha gharama za vifurushi

    Mbunge wa Kilolo, Justin Nyamoga akiwa Bungeni Dodoma leo amehoji ni lini Serikali itarudia mpango wake wa awali wa kushusha vifurushi ili Watanzania wavipate kwa bei nafuu. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amesema changamoto ya Biashara ya Mawasiliano...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

    Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini. Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde akabidhi madawati 590 kwa Shule za Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MADAWATI 590 KWA SHULE ZA DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amekabidhi madawati 590 yenye thamani ya Tsh 70,000,000 kwa shule za Msingi Dodoma Jiji ili kukabiliana na upungufu wa madawati uliosababishwa na ongezeko kubwa la usajili wa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

    Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia...
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

    Wasalaam wapenzi wa jukwaa hili! Ndugu zangu huwa napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa". Kauli yake imekuja...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

    Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

    Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu. Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu. Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge adai SGR itajengwa kwa miaka 81

    Mbunge wa Handeni Mjini CCM, Reuben Kwagilwa, ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, waangalie namna ya kufadhili miradi mikubwa kwa mfumo wa dhamana ya miundombinu ‘infrastructure bond’ ili kuiwezesha Serikali kutoa huduma za wananchi kila siku. Amesema isipofanya hivyo mradi wa ujenzi...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Kigwangalla ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi. Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Iramba yetu tumekuwa na Mbunge wa Kitaifa zaidi ya Kijimbo

    Iramba imebahatika sana baada ya Uchaguzi wa Mwaka jana 2020. Katika mkoa wa Singida kama sikosei ni Iramba pekee iliyotoa mawaziri. Tuna Waziri Dr. Mwigulu Nchemba, Prof. Kitila Mkumbo (ingawa wa Ubungo wana haki naye pia) na Dr. Dorothy Gwajima. Mwenyezi Mungu abarikiwe sana sana! Tuna...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Natumai mbobezi wa sheria Profesa Kabudi atatudadavulia namna Nusrat Henje alivyotoka jela usiku na asubuhi kuwa mbunge!

    Nikuombea tu Waziri wa katiba na sheria Prof Palamagamba Kabudi utuwekee sawa hili la mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA Nusrat Henje namna alivyoupata ubunge. Hili swala lina utata mwingi na ni doa kubwa kwenye chombo kitukufu kama bunge tena kinachoongozwa na daktari wa sheria Tulia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

    Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters. Source...
Back
Top Bottom