mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi. Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6 Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen Freeman Mbowe...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake. Jaji Luvanda...
  3. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia. Hivi karibuni viongozi wa Chadema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe akitoka Mahabusu, atasema, "nimewasamehe, ila mapambano yanaendelea"

    Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo. Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Ajili ya Freeman Mbowe kuvurumishwa kwa siku mbili mfululizo , ni kufunga na kuomba

    Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI . Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

    Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

    Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi). Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama ni gaidi apelekwe gereza la Gwantanamo?

    Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari kuzidi cha Korona, fasta wakajenga gereza mbali sana nje ya nchi yao kule Cuba gereza la noma...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu

    Kwa mujibu wa katiba yetu ambayo ina halalisha uwepo wa muhimili uliojichimbia zaidi, mahakama ni sehemu ya chombo cha dola. Ni kwa sababu hiyo japo mahakamani kulipaswa kuwa ni sehemu huru na kimbilio ambako haki ingetegemewa kupatikana si nadra kwa polisi au mamlaka kutishia kuwapeleka watu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je unamfahamu Jeremiah Mtobesya wakili msomi aliyewahenyesha mawakili wa serikali kwenye kesi ya Mbowe ?

    Huyu hapa Moto wake usipime !
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto . Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia...
  13. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Mbowe siyo gaidi, tunamaanisha hivi

    Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

    Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

    Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

    Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
Back
Top Bottom