John Mwambigija atoa hadharani Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa Watanzania kutoka gereza la Ukonga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,625
218,056
Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo akituhumiwa kwa makosa ya Ugaidi.

Baada ya kuonana naye Mh Mbowe alimpa ujumbe Maalum Mwambigija ili auweke hadharani kwa manufaa ya Watanzania wote .

Hebu jionee mwenyewe

Watu wa Mbeya wamebarikiwa kwa ardhi safi, mvua za kutosha, vyakula kama vyote lakini hawaitaki CCM.

Dodoma kwa wagogo wana shida za kila aina njaa, maradhi, milembe, ukame, kusahauliwa na serikali, viongozi wa ajabu ajabu kama Lusinde na Ndugai ila bado wameikumbatia CCM.
 
Pamoja na ubaya wa ccm lkn hatuko tayari kuona nchi inaongozwa na wahuni+walevi
 
Kukombolewa na nan?umekaa kwa dada yako apo una uhuru wa kutosha unakula sembe ya shemeji bado wajiona uko kifungoni?
Unajuaje kama dada ndio kamuoa shemeji? Mbona mnapenda kusifia mashemeji wa wenzenu? Au ulitaka wewe uolewe na shemeji ili uwe dadangu!?

Au wewe njoo uwe dem wangu ufaidi utajiri wa dadangu.
 
Back
Top Bottom