Binafsi ningeviomba vyombo husika viwaache wanachama wa CHADEMA waendelee kumuombea mpendwa wao ambaye ni mwenyekiti wa chama chao mh Freeman Mbowe aliyeko mahabusu ukonga.
Kwetu Wakristo kuombea wagonjwa na wafungwa ni sehemu ya ibada.
Nakumbuka hayati Magufuli tulikuwa tukimuombea.
Mungu ni...
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Habari watanzania, watanzania wapenda amani.
Leo Jtatu nimeona nisiwache wanyonge hivi ni bora nitie neno kidogo kwenye hili Sakata la Mbowe sambamba na Sabaya. Maneno yapo mengi ya kusema lakini maneno bora nayoyaona ni haya “ HISTORY REPEAT ITSELF UNTIL LEARNED”. Msingi wa kuchukua msemo huo...
Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz
Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI”
Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana.
Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”...
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe.
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya...
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
Tuanze na CCM chama ninachokipenda.
Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo.
Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.
Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate...
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba...
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa:
"Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake."
Wajumbe hao wakisikia moja...
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.
Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.
Enzi zile...
Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi .
Natoa wito kwa wananchi wote na hususani ni wanachama wa Chadema...
Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi.
Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake.
Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya.
Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.