Baada ya kesi ya Mbowe utakua hivi

lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,878
2,000
Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-

Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.

Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,

Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,

Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k

Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,

Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,

Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,

Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,

Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,

Ccm itashindwa uchaguzi,

Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,

Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.

Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.

Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.

Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.

Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.

Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.

Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.

WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
 
Jesuitdon

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
3,214

Lala uko

View attachment 1942568
IMG-20210917-WA0137.jpg
 
Zacc

Senior Member
Aug 1, 2018
142
250

mimi napenda mabadiliko, pengine tuwe hata na vyama viwili vinavobadilishana dola, ila Kwa upinzani wa Tz, bado sana,ni kama wanacheza tu ngonjera, hawajajiandaa hata kidogo kushika dola, bado wana ushawishi mdogo sana kwa wananchi. Ndugu mwandishi, upinzani haujajianda kushika dola, nasisitiza kabisa, Hawapo serious kabisa, CCM imewekeza kwenye nyoyo za watu wengi sana, na ina mbinu za hali ya juu sana, Hizo ndoto zako zitakuja kutimia baada ya miaka mingi sana, rejea kauli za viongozi wa upinzani kipindi cha ESCROW TEGETA, na kipindi wanamkaribisha Former PM agombee kwao, baada ya kukosa upande wa pili.
Itoshe kusema upinzani wana mbinu dhaifu ili washike dola.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,042

Kama mnapenda mabadiliko nini hofu yenu kuwa na Katiba ya wananchi yenye kuridhia TUME HURU YA UCHAGUZI ?!. Si mmewekeza kwenye mioyo ya wananchi . Kwanini mwatumia Dola kupora mchakato wa uchaguzi hata wa serikali za mitaa ?!
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,516
2,000
Baba, mama,mtoto viongozi wenye cheo cha juu kabisa, ni ndoto time will tell history. Haya mambo yalipangwa na kupangika. Who knows? Yatatimia.
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,381
2,000
Wapinzani njaa walitaka kutumia vikao vya katiba kama kichochoro cha kupiga hela na magenge yao. Maana kila kikao kimoja washiriki wangelipwa mamilioni ya kodi na tozo za walalahoi. Mama kashtukia mchezo na kuzielekeza hela hizo katika ujenzi wa shule, barabara na hospital nchi nzima. Anaetaka katiba aiweke kwenye ilani ya chama chake katika uchaguzi mkuu ili akichaguliwa ailete!
 
mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
3,825
2,000
Umaarufu wa Mbowe unaishia Ufipa, hata Haji Manara ni maarafu zaidi ya Mbowe, akikutwa na hatia atafungwa na hakuna mtu yoyote anayeweza kufanya lolote juu ya hilo.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,197
2,000
Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-

Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.

Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,

Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,

Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k

Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,

Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,

Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,

Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,

Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,

Ccm itashindwa uchaguzi,

Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,

Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.

Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.

Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.

Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.

Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.

Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.

Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.

WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Mpka sasa baada a Hangaya kuwavuluga 50% ya wanaccm wanataka katiba mpya, 30% ccm hawajafanya maamuzi kqma.wanataka au la, 20% majizi na magaidi ndani ya ccm hawataki kusikia katiba mpya.
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,439
2,000
Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-

Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa.

Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake,

Mahakama ya tanzania itatazamwa kwa jicho la kipekee kabisa,

Serikali ya tanzania itaangaliwa na dunia kwa jicho la tofauti kabisa,hasa ukizingatia nafasi ya tanzania ya kale ya kutetea watu waliokua wakionewa katika nchi zao,mfano akina museveni,mandela,nujoma,chisano n.k

Wananchi watajenga chuki na serikali ya ccm, hii ni hata kama Mbowe atashinda ama atashinda kesi,

Kusudio ya kudai latiba mpya ndio itapamba moto,

Matumizi ya nguvu ya jeshi la polisi na vyombo vya dola yataongezeka dhidi ya wadai katiba,

Vuguvugu la kudai latiba litapata uungwaji mkono toka makundi mbalimbali na hatimae serikali kusalimu amri,

Katiba mpya itaandikwa,
Uchaguzi utafanyika,

Ccm itashindwa uchaguzi,

Ccm itafanya Kila njia kutaka kukataa matokeo lakini itashindwa kwa hilo,

Ccm itakubali matokeo kwa unyonge,
Ccm itatolewa madarakani.

Ndugu zangu haya yote yanayotokea sasa ni njia za kuelekea nchi ya ahadi.

Ndugu zangu tawala zote dhalimu ziliangukaga kwa mtindo huu.

Msione haya yanatokea mkadhani ni bahati mbaya,ni jioni kwa ccm imefika,giza ndo linaingia,hakuna tena mwanga kwa ccm.

Hilo suala la Mbowe linaenda kufanya Dunia kuwa kinyume na CCM.

Dunia yote iko hapa tanzania na inaona.

Mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,
Wanaripoti kila kitu kwao.

WATANZANIA hii kesi ya Mbowe ina faida zaidi kwa Mbowe chadema na wapinzani kuliko serikali.
Mama aliingizwa chaka na wahafidhina wakamuaminisha hili jinamizi linalotokea sasa. Akasimama hadharani akiuamini uongo ule uliobobea kuwa ukweli na wabambika vyesi aliowaonya wakaingia kazini kupika ushahidi. Kabla haujaiva wameupakua aibu iko sebuleni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom