mbowe

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: kama hawa ndio walinzi wa Mbowe na wamejaa hivi; wale webamba wale aliwatakia nini?

    Picha ya juu- walinzi wa siku zote picha ya chini walinzi wa KAZI MAALUM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho kwenye kesi ya Mbowe tutarajie lolote kumtokea Boniface Jacob mahakamani au nje ya mahakama

    Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati. Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake. Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba. Hii maana yake...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nakudediket wimbo wa Michael Jackson You not alone

    Mh mbowe Sina zawadi ya kukupa Ila kwa upendo mkubwa Sana Mimi na familia yangu tulionao kwako tunakupa zawadi ya wimbo wa MICHAEL JACKSON ; YOU ARE NOT ALONE. Barikiwa.
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

    Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini? MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara. KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting? MAHITA: Kimya...
  5. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Baada ya kesi ya Mbowe utakua hivi

    Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi. Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:- Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya mandela, hata kama akifungwa ama akiachiwa. Dunia mzima itamjua Mbowe na chadema yake, Mahakama ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

    Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama Hakika Jambo la jana kupigania haki ya mahakama na kutaka isimame kama mhimili huru ni nzuri sana Jopo la mawakili...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

    Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki. Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini kesi ya Ugaid ya Mbowe inasimamishwa simamishwa na Jaji kwa ajili ya kwenda kujiridhisha?

    Leo kesi imechelewa kuanza na pamoja na kuchelewa kuanza Jaji anaomba dakika 15 akajiridhishe na kutoa maamuzi baada ya utetezi kukataa kuhojiana na shahidi wa kwanza, lakini pia watuhumiwa kusema hawana cha kumhoji shahidi wa kwanza. Je, nilazima kuhojiana hata kama mtuhumiwa haoni sababu? Je...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  10. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV

    Habari wana Jamii, Nimekaa na kutafakari kuhusu kesi ya Ugaidi Ya Freeman Mbowe na Wenzake ambayo inakaribia kuanza mwezi ujao. Na ndio nikaamua kuanzisha hii thread maalum ya kuomba kesi hio irushwe "LIVE COVARAGE" kwa kutumia Channel Maalum (Za Bure) kama ilivyofanyika; I) South Africa -...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili Mahakama ya Uhujumu aainisha masharti ya kusikiliza kesi ya Mbowe

    16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3. Marufuku kurekodi kwa kutumia simu Hakuna katazo...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe utadhani Bruce Lee na chain stick

    Mzuka wanajamvi! Waziri wetu mkuu Freeman A. Mbowe kwenye picha hapo chini ni kama kashika cheni kama ile ya Bruce Lee. Ndo maana huyu mwamba anaogopwa kwa kila kiti ije Karate yupo fiti, ije mbinu za medani usiseme, uje kwenye maendeleo na biashara wee acha tu, uje kwenye hoja na mikakati...
  14. Mlachake

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  17. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy born day Mwamba Mbowe

    Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako. Mungu akupe maisha marefu
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mwambigija atoa hadharani Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa Watanzania kutoka gereza la Ukonga

    Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo akituhumiwa kwa makosa ya Ugaidi. Baada ya kuonana naye Mh Mbowe alimpa ujumbe Maalum Mwambigija ili...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
Back
Top Bottom