Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana.
Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale
Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo...
Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, hakika ni aibu kubwa Sana kwa Taifa letu kuwa na Jeshi la Polisi, ambalo halitaki...
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.
Bring...
Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu
Endelea kufuatilia
========
Saa 3 na...
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka Airport. Kwasasa watu kwenye kesi ya Mbowe na wanapima kuona kama Tanzania inabadilika au iko vilevile...
Na Deodatus Balile
Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP.
Wakati anakabiliwa na...
How to cross-examine a witness
Ask questions, rather than making statements.
Keep your questions short and to the point.
Try and ask questions that have a 'yes or no' answer. ...
You must put your version of events to the prosecution witnesses.
Make sure you don't argue with or insult the...
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha...
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine
Freeman Mbowe, a Tanzanian...
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake...
Wanabodi,
Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba serikali inafanya kila kilicho ndani ya uwezo wao kuzuia mikutano ya wapinzani ikiwemo mbinu wanazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.