Freeman Mbowe utadhani Bruce Lee na chain stick

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,272
2,000
Mzuka wanajamvi!

Waziri wetu mkuu Freeman A. Mbowe kwenye picha hapo chini ni kama kashika cheni kama ile ya Bruce Lee.

Ndo maana huyu mwamba anaogopwa kwa kila kiti ije Karate yupo fiti, ije mbinu za medani usiseme, uje kwenye maendeleo na biashara wee acha tu, uje kwenye hoja na mikakati hawamuwezi ndo maana wanatumia nguvu na rasilimali za walipa kodi kumzibit lakini wapi.

Iyo cheni mwamba alivyoishika yani sisi tuliobobea mambo ya saikolojia na body language tunakiri huyu mwamba is fit for the top office. Iyo exposure tu na jinsi alivyomiliki center of gravity Mungu atupe nini tena zaidi.
2918820_Leo_Jumatatu_Tarehe_06_09_2021_Kesi_Ya_Uhujumu_Uchumi_Na_Ugaidi2C_Inayomhusu_Mwenyekit...jpg
00xp-nunchuck-lee-jumbo.jpg
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
12,081
2,000
Mzuka wanajamvi!

Waziri wetu mkuu Freeman A. Mbowe kwenye picha hapo chini ni kama kashika cheni kama ile ya Bruce Lee.

Ndo maana huyu mwamba anaogopwa kwa kila kiti ije Karate yupo fiti, ije mbinu za medani usiseme, uje kwenye maendeleo na biashara wee acha tu, uje kwenye hoja na mikakati hawamuwezi ndo maana wanatumia nguvu na rasilimali za walipa kodi kumzibit lakini wapi.

Iyo cheni mwamba alivyoishika yani sisi tuliobobea mambo ya saikolojia na body language tunakiri huyu mwamba is fit for the top office. Iyo exposure tu na jinsi alivyomiliki center of gravity Mungu atupe nini tena zaidi. View attachment 1940613 View attachment 1940614
The CCM Lady has never been known to have brains than Mbowe

Na hii inajidhihirisha on the court of law....You cant fight genetics

Kupambana na brains inatakiwa utumie busara...cha ajabu hutumii busara

Ungetumia busara ungemshinda,ila sasa stupidity is on full display...

Mpaka mwananchi anaona aibu yeye sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom