mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu. Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
  2. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

    Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia. Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

    Uungwana ni vitendo
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wadhamini wa Tundu Lissu wawasilisha maombi ya kibali cha kumkamata

    Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa CHADEMA kukamatwa. Awali mahakama ilitaka kuwakamata wadhamini hao baada ya kushindwa kumpeleka waliyemdhamini...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Na. M. M. Mwanakijiji Hili ni swali ambalo linahitaji jibu. Kwenye nchi na vyama vya kidemokrasia mojawapo ya kanuni muhimu ni ile inayotaka viongozi wa juu wa chama kuwajibika mara moja pale vyama vyao vinaposhindwa uchaguzi. Hili ni kweli hasa pale kiongozi anapowekeza mkakati mzito na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

    Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao. Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

    Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara. Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

    Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli. Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

    BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania. Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare. NAMTUMIA...
  12. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masuala haya ambayo MBOWE atayazungumzia kwenye mkutano na waandishi wa habari ni hadaa kwa umma.

    Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja. Tume huru ya Uchaguzi. kamati ya Maridhiano Marekebisho ya katiba kuzuiwa kusafiri nje...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Shujaa Mbowe alionya lakini akapuuzwa

    Jionee mwenyewe , maana tukiandika tunaonekana tumeongeza chumvi
  16. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

    Hili ni pendekezo tu. Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake. Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

    Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi. Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za kufariki ghafla kwa mumewe bw. Sebastian Malya maarufu kama baba Neema au Ice Kyubu.Mpaka sasa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

    Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT. Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu. Godbless Lema naye anatajwa kuhamia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amshangaa Selasini kujiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Upinzani Bungeni, asema sababu alizotoa hazina mashiko

    Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe amesikitishwa na uamuzi wa Mbunge wa Rombo Joseph Selasini wa kujiuzulu nafasi ya mnadhimu wa upinzani bungeni na kusema wazi sababu alizotoa hazina mashiko. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ameshangazwa na taarifa ya...
  20. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Hongereni wakina Mbowe. Nakaribisha maoni/ ushauri na maswali

    Hello JF! Leo nimeona tukutane kwenye huu ‘mkutano’ tujadili upinzani, nafasi yake kwa sasa na muelekeo ama future direction iweje. Nawasihi tuifanye hii topic kimaswali na majibu ili kustimulate minds zenu. Kwanza, tumpongeze number moja upinzani Mbowe, amepitia mengi kama yeye na kwenye...
Back
Top Bottom