Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,098
Subpost 1 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe_ - Freeman_Mbowe akiongozana na Katib ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 2 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe_ - Freeman_Mbowe akiongozana na Katib ( 640 X 640 ).jpg


Uungwana ni vitendo
 
Naona mitume na manabii wanatoka kila kona ya dunia kuja kumfariji mwenzao
Kama kuna mtu hapo msibani akipata bahati ya kuwaona na maraika
Asisite kututumia kapicha
Manabii uwa marafiki zao sana ni maraika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungwana gani hapo? Mwingira ni kiongozi wa dini siyo mwanasiasa, Tulia naye alikuwepo huyu katokea Kyela kwenye matanga ya msiba, yaani anajitahidi sana kuzika.
Tulia si kuzika tu hata majeneza anatembea nayo
 
Pole kwa wafiwa,ila chadema protokali bado
Kwa nini wamempeleka Mwentekiti na katibu kuhani msiba kwa wakati mmoja?
 
Pole kwa wafiwa,ila chadema protokali bado
Kwa nini wamempeleka Mwentekiti na katibu kuhani msiba kwa wakati mmoja?
Kinachohani kwenye msiba si chama ni mtu binafsi, kumbe nyie huwa hamuendi kwa kuwa tayari wapo wanachama!
 
Back
Top Bottom