Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,543
2,000
Hili ni pendekezo tu.

Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.

Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.

KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,410
2,000
Mzee kuwa siri kama ili tuliyopigia kelele. Kifupi jambo pekee jipya kwa jana ni sanaa ya usainiji wa ule mkataba ambao ilikuwa mbele ya TV, na wala siyo uwazi wa kilichopo ndani ya mkataba. Sasa hapo kuna jambo gani jipya na kubwa ambalo KUB ataenda kuwaeleza wenzake? Jambo pekee kubwa ndani ya nchi la wiki iliyopita ni Sammata kusajiliwa na Aston Villa fullstop.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Shida yote ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,403
2,000
Hili ni pendekezo tu.

Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.
Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.

KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama!
Hayawahusu wapinzani, nchi hii inawenyewe na wenyewe ni CCM.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,543
2,000
Mzee mgaya naona mmesubiri muone wapinzani wakipongeza lile igizo la jana lakini watu hawastuki, mmebaki MATAGA wenyewe mkisema ni tukio la kihistoria. Naona kwa hasira MATAGA wenzako wameanzisha nyuzi wakilaumu vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC, DW nk eti kwanini hawatangazi hilo tukio kubwa? Yaani tukio kubwa la kusaka kiki za kisiasa za ccm ndio tukio kubwa kwa kila mtu?

Huo mkataba ingekuwa habari kubwa kama huo mkataba ungekuwa wazi na sio kuwa siri kama ili tuliyopigia kelele. Kifupi jambo pekee jipya kwa jana ni sanaa ya usainiji wa ule mkataba ambao ilikuwa mbele ya TV, na wala siyo uwazi wa kilichopo ndani ya mkataba. Sasa hapo kuna jambo gani jipya na kubwa ambalo KUB ataenda kuwaeleza wenzake? Jambo pekee kubwa ndani ya nchi la wiki iliyopita ni Sammata kusajiliwa na Aston Villa fullstop.
Bwashee hata hilo la Samatta ni utekelezaji wa ilani ya CCM!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,543
2,000
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
Uliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,410
2,000
Bwashee hata hilo la Samatta ni utekelezaji wa ilani ya CCM!

Ni kweli kabisa mzee Mgaya, tena ili inoge vizuri inabidi kwenye nyumba yake huko UK mkatundike bendera ya ccm juu ya paa lake. Na atumiwe nakala ya ilani ya ccm awe anatembea nayo kama Kange Lugola.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
Ha haha! Yaani beberu (Barrick) kampiga goli mbuzi wetu wa shughuli (ccm) bila hiana?
Hatuna hamu na haya mabeberu!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,543
2,000
Ni kweli kabisa mzee Mgaya, tena ili inoge vizuri inabidi kwenye nyumba yake huko UK mkatundike bendera ya ccm juu ya paa lake. Na atumiwe nakala ya ilani ya ccm awe anatembea nayo kama Kange Lugola.
Bwashee bendera ya CCM imepandishwa pale Mbagala nyumbani kwa mzee Samatta!
 
Battery

JF-Expert Member
Jul 25, 2019
221
250
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.

Tuonyeshe mkataba ambao umewahi kuwekwa Gazetini ama kweli nchi hii vilaza wako eh Mungu w

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
gasozi

Member
Jun 8, 2019
19
45
Mikataba ya wachezaji labda
Uliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
[/QUOTE]
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,419
2,000
Hili ni pendekezo tu.

Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.

Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.

KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama!
Mie nashauri Mwenyekiti wa TLP awe anahudhuria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom