mbowe

  1. Masanjaone

    JamiiForums Tanzania Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

    Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo. Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Daudi Bashite akipokea taarifa za ugonjwa wa mtoto wa Mbowe

  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda yuko sahihi, basi alichofanya Mbowe hakina tofauti na alichofanya Mandela mwaka 2005 alipomtangaza mwanae muathirika kuokoa wengine

    Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao. Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  6. idawa

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda: Mbowe ameahirisha mikutano ya CHADEMA baada ya mwanaye kuambukizwa Corona

    Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona. Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa. Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
  7. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha mikutano yote ya hadhara iliyopangwa kuanza Aprili 4 kutokana na tishio la Corona

    Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona Updates Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na wanahabari saa 8 mchana wa leo tarehe 23 Machi 2020 kuhusiana na "gonjwa" la Corona

    Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter wa mh Lazaro Nyalandu. Don't go away.... Update.... Update.... clip ya speech yenyewe iko hapa Live: Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa Habari muda huu jijini Dodoma - JamiiForums
  9. J

    JamiiForums Tanzania Siasa zinazofanywa na CHADEMA zilifanywa na Prof. Lipumba na CUF wakati wa IGP Mahita zikafeli. Je, mwamba Mbowe atafaulu?

    Hizi siasa zinazofanywa na Chadema leo wakiongozwa na Mbowe zilishafanywa na CUF ya Lipumba na Maalim Seif enzi za IGP Omar Mahita lakini zilifeli. Wakati ule CUF walijiita Ngangari na Mahita akawabatiza vijana wake jina la "Ngunguri" na kilichofuatia tunakijua CUF walihamia uhamishoni Mombasa...
  10. Francis12

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020. ==== Updates “Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe. “Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari leo saa sita mchana

    Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter: Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili mchana, ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, waliokwenda Ikulu wamesaidia nini kuondoa huu unyanyasaji na kuna sababu gani ya Mbowe kwenda Ikulu iwapo nae ataalikwa?

    Leo Machi 14,2020 Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, limezuia tena kikao cha ndani kilichoandaliwa na Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, kwa kile walichodai maagizo kutoka juu. Kikao hicho mgemi rasmi alitarajiwa kuwa mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Chanzo:Official Bavicha tweet. .
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Mbowe na wenzake wametumikia adhabu zote mbili ile ya kufungwa jela na kulipa faini, au imekaaje wakuu?

    Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu? Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa . Wote Mnakaribishwa
  15. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Ametoka Magereza na kusindikizwa na polisi pls mod naomba msiunge Thread Updates
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afanikiwa kutoka Jela, ni baada ya Mabomu kupigwa, Wabunge wa CHADEMA walioenda kumpokea Segerea wakamatwa tena!

    Kinachosubiriwa ni utaratibu wa kutolewa Segerea. UPDATES: => Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chadema akiwemo Mbunge Halima Mdee waliofika gereza la Segerea kumchukua Mwenyekiti Freeman Mbowe => Wabunge wawili wa Chadema, Halima Mdee na Ester Bulaya, Meya wa Ubungo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kinachofuata ni Mbowe kupewa mwaliko wa kwenda Magogoni ili picha zake na Bwana mkubwa zitumike katika kufanikisha damage control

    Leo hii baada ya habari ya Msigwa kulipiwa na Magu kutoka,watu watakuwa wameshangaa ila mimi binafsi sijashangaa kwani nilijua kitafanyika kitu kama hiki na hakika kimetimia ndani ya masaa 24. Wakati ACT-Wazalendo wakichangia shilingi milioni mbili,sitashangaa chama cha kijani nacho kikachangia...
  18. kingunge wa jf

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Naomba viongozi wa CHADEMA Taifa watoe Account Namba tusaidiane kuchangia hii Hukumu. Asante ======= Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo jioni makamu mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar), Said Issa Mohammed amesema hukumu hiyo ni dhuluma ya demokrasia na wapo tayari kukata rufaa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  20. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana msongo mkubwa wa mawazo, ni baada ya kutoitwa Ikulu

    Nimemsikiliza mtani wangu Mbowe akijibu swali ni kwa nini hajaalikwa Ikulu ilihali yeye ndiye aliomba kwa maandishi lakini wamealikwa ambao hawajaomba kualikwa? Ukimsikiliza utabaini ana kitu Wazungu na Wapare tunaita "psychological disorder". Yaani hitilafu itokanayo na matatizo ya kijamii na...
Back
Top Bottom