Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki .
Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi
Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe
Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo.
Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana.
======
CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !
Wote Mnakaribishwa .
Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu.
Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.
Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi...
Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa CHADEMA kukamatwa.
Awali mahakama ilitaka kuwakamata wadhamini hao baada ya kushindwa kumpeleka waliyemdhamini...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hili ni swali ambalo linahitaji jibu. Kwenye nchi na vyama vya kidemokrasia mojawapo ya kanuni muhimu ni ile inayotaka viongozi wa juu wa chama kuwajibika mara moja pale vyama vyao vinaposhindwa uchaguzi. Hili ni kweli hasa pale kiongozi anapowekeza mkakati mzito na...
Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa...
Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili wafanikiwe uhuru wao.
Morgan alipokuwa anapambana na Mugabe akafanya kosa la kutafuta msaada toka...
Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.
Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.
Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA...
Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi
Updates
------------
Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais
-------------
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.