Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,235
Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA
na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
 
Ulipotumia neno 'kuunguruma" nimekuja mbio kuja kuangalia kuwa nani..? nikafikiri Slaa karudi, Kumbe DJ.....Katika Genge lililobaki hakuna mwenye kuunguruma hapo...!
 
Back
Top Bottom