mbowe

  1. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  2. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Lowassa kurudi CCM ni ahueni kwa "wasaliti"

    Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo. Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu...
  3. Emmanuel J. Buyamba

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, kwanini maridhiano sasa?

    Wananzengo habari zenu. Takribani saa 24 zilizopita nimekuwa nikijaribu kusoma na kutafakuri kwa kina yaliyotokana na mambo mawili, kwanza CHADEMA kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru la kwanza na lapili hotuba ambayo Mh. Mbowe aliyoiunda na kuhakikisha arafa yake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

    Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini. Kati ya watu maarufu waliozungumza katika kipindi maalum cha VOA kuhusu upinzani Tanzania ni Professor Gaudence...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Freeman Aikael Mbowe

    Nikiwa ndani ya uwanja wa Kirumba napenda kukupa salamu za baraka kwa siku yako ya kuzaliwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe. Mungu akubariki. Maendeleo hayana vyama!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

    Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu. Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa...
  10. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya udikteta na busara. Mh Mbowe si dikteta

    Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na maneno mengi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA unaofanyika katikati ya mwezi huu. Wapo watu wanaotafusiri kitendo cha Mh Mbowe kugombea tena kama ni UDIKTETA. Wanaozungumza hili ni wale wanaojielekeza kwenye tafsiri shambulizi ya demokrasia. Ninadhani ni...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

    Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe shikilia hapo hapo, CHADEMA can't be for dogs!

    Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais. Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba. Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
  14. Bess

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yawavuruga Chadema waona ni heri muasisi mtendaji pekee mzee Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti

    Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti. Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  17. S

    JamiiForums Tanzania "Hakuna umoja wa wenye njaa". Kwa nyakati hizi nje ya Mbowe, Sumaye angefaa sana kuwa m/kiti CHADEMA

    Kuna usemi kwamba "hakuna umoja wa wenye njaa". Usemi huu unamaanisha kwamba mtu mwenye chakula akipita karibu na watu ambao wako pamoja lkn wana njaa watasambaratika kwa kasi ya kimbunga. CHADEMA ni umoja wa watu wa wenye njaa, maana hakuna nafasi za uteuzi/vyeo. Wakati ambapo CCM kuna nafasi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano. Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  20. DAT BOY SU

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
Back
Top Bottom