mbowe

  1. dubu

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Heshima kwenu wakuu, Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haikupokea mwaliko wa kwenda Ikulu kuzungumza na Rais Magufuli

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amezungumzia kuitwa Ikulu kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini na uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfuta uanachama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Jumanne...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Membe ana haki alikuwa adui yetu jana lakini leo ni rafiki hatuwezi kumkataa akipendezwa kujiunga nasi tutampokea!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema chama chao kina haki ya kumpokea mwanachama kutoka vyama vingine endapo anakidhi vigezo. Mbowe amedai kuwa chama chake kimepata funzo kutokana na kupokea wanasiasa wa vyama vingine hivyo kwa sasa watakuwa makini zaidi. Membe ana haki zote za kujiunga na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe ndiye Zamoyoni Mogela aka Golden boy wa Hai?

    Wale wahenga mnakumbuka namna Zamoyoni Mogela alivyokuwa anapaniwa na walinzi wa Yanga pindi timu ya Yanga ikutanapo na Simba miaka ile ya 80. Nakumbuka picha moja ikimuonyesha Mogella akiwa amezungukwa na walinzi " wote" wa Yanga yaani Yusuph Bana, Ahmed Amasha, Rashid Chama, Isihaka Hassan na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani, Freeman Mbowe ametengwa au amejitenga?

    Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake. Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo mh Mbatia katimba Ikulu. Mzee Lowassa akiwa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

    Lengo kuu ni Chadema ijibu mapigo ili wapate kisingizio cha kuzuia Mikutano ya Mbowe inayoendelea . ====== Hai. Mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema) mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru umevurugwa baada ya kuibuka kikundi cha...
  7. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini. Sympathizers...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mh Mbowe aendelea kuchanja mbuga Hai

    Leo ile kazi iliyotukuka inaendelea tena Wote mnakaribishwa .
  9. J

    JamiiForums Tanzania Siyo mzee Mangula tu hata Mbowe aliwahi kuanguka baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu akalazwa hapo hapo Muhimbili

    Ni katika kuweka kumbukumbu sawa tu. Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuishiwa nguvu na kulegea ghafla hali iliyosababisha wasaidizi wake wamkimbize Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya madaktari ilieleza baadae kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu baada ya Freeman kuwa amefanya kazi kwa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe kutikisa Viwanja vya Kware Jumapili hii

    Habari ndio kama mnavyoiona
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe alipokuwa anaingia viwanja vya Bomang'ombe - Ardhi yatikisika, Umati ni mkubwa kuliko maelezo!

    Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki . Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mh Mbowe kuendelea na mikutano yake Jimbo la Hai

    Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha Wote Mnakaribishwa
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
  14. Alexandry Nemesi

    JamiiForums Tanzania Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo. Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana. ====== CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : Kamanda Mbowe alipowasili kwenye Mkutano Hai

    Hii hapa, Mengine yanakuja, usiondoke JF
  16. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbowe Katika picha ya Pamoja na kachero mbobezi

    Wadau.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kishindo: Freeman Mbowe kuunguruma Hai

    Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria ! Wote Mnakaribishwa .
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu. Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
  19. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

    Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia. Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

    Uungwana ni vitendo
Back
Top Bottom