Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa.

Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha mpaka kuongeza na idadi ya Walinzi wa Kiume tofauti na hapo awali kwa Utetezi kuwa Wanawake nao wanaweza wakati Kibaiolojia na Kimedani hawako that 85% Competent katika Ulinzi wa Head of State.

Sasa nina Amani kwa kuwaona Walinzi wa Kiume wa Bi. Hangaya kwani Mightier kila nilipokuwa nikiwaona Walinzi wa Kike peke yao ukimchanganya na Yule Mpambe ( ADC ) wake wa Kike nilikuwa naogopa mno.

Nilihisi kuwa huenda Siku moja kuna Watu wangejitokeza Kumjaribu Mama au hata Timu yake nzima ya Ulinzi kwakuwa nimeshakaririshwa kuwa Wanawake Kibaiolojia na Kisaikolojia Wana Udhaifu wa Kiasili japo hujitahidi sana Kujitutumia bila mafanikio.
 
(Mwanamke ni kiumbe dhaifu kuliko kiumbe chochote dunia)
Alisikika mwanaume akisema!
 
Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa.

Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha mpaka kuongeza na idadi ya Walinzi wa Kiume tofauti na hapo awali kwa Utetezi kuwa Wanawake nao wanaweza wakati Kibaiolojia na Kimedani hawako that 85% Competent katika Ulinzi wa Head of State.

Sasa nina Amani kwa kuwaona Walinzi wa Kiume wa Bi. Hangaya kwani Mightier kila nilipokuwa nikiwaona Walinzi wa Kike peke yao ukimchanganya na Yule Mpambe ( ADC ) wake wa Kike nilikuwa naogopa mno.

Nilihisi kuwa huenda Siku moja kuna Watu wangejitokeza Kumjaribu Mama au hata Timu yake nzima ya Ulinzi kwakuwa nimeshakaririshwa kuwa Wanawake Kibaiolojia na Kisaikolojia Wana Udhaifu wa Kiasili japo hujitahidi sana Kujitutumia bila mafanikio
 
Security and safety of our head of state is under control...

Mnaowaona ni wanawake but behind the scene ni jopo la wanaume wanaimarisha ulinzi na usalama....
 
Wamekusoma maana nao wamo humu mkuu,,,,ila jiandae kudakwa Tanganyika jeki soon.
 
Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa.

Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha mpaka kuongeza na idadi ya Walinzi wa Kiume tofauti na hapo awali kwa Utetezi kuwa Wanawake nao wanaweza wakati Kibaiolojia na Kimedani hawako that 85% Competent katika Ulinzi wa Head of State.

Sasa nina Amani kwa kuwaona Walinzi wa Kiume wa Bi. Hangaya kwani Mightier kila nilipokuwa nikiwaona Walinzi wa Kike peke yao ukimchanganya na Yule Mpambe ( ADC ) wake wa Kike nilikuwa naogopa mno.

Nilihisi kuwa huenda Siku moja kuna Watu wangejitokeza Kumjaribu Mama au hata Timu yake nzima ya Ulinzi kwakuwa nimeshakaririshwa kuwa Wanawake Kibaiolojia na Kisaikolojia Wana Udhaifu wa Kiasili japo hujitahidi sana Kujitutumia bila mafanikio.
PSU ndio wamekuwa USP?

Unawakumbuka bodyguard wa Gaddafi?
 
Mbona wa Ghadaffi waliweza.
 
Back
Top Bottom