Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,757
- 165,304
Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
Ungesoma ukaelewa, usingefungua hu uzi.!
Huyu kishalipuliwa kwamba ndiye anayejifanya Rais kwa maamuzi akishirikiana na Mchengerwa , sasa anaweweseka
Na wanavyokukera walahi watakuzalisha mwaka huu [emoji12][emoji12][emoji12]Hakuna watu wenye stress kama wana chadema
Hakuna watu wenye stress kama wana chadema
Siyo kuchungulia, alikuwa KAFAAlituambia mwendazake yupo gudi kumbe alikuwa anachungulia mlango wa jehanamu.
Hiyo ni kauli aliyoitoa kipindi cha magufuli, aliitoa alipokua msikitiniHuyu kishalipuliwa kwamba ndiye anayejifanya Rais kwa maamuzi akishirikiana na Mchengerwa , sasa anaweweseka
Next week kuna nini kiongozi ?? Funguka hapa ndugu.Next week dah! Inaniuma sana! Basi tu!!!