Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

eity 4

Senior Member
Dec 7, 2014
147
206
Sasa hivi kumezuka mtindo wa wanawake kutugeuzageuza Kama tunachomwa sisi ni chapati. Mahitaji yao ya kuridhishwa kingono na kimaslahi yanaongezeka na kubadilika kila kukicha. Zamani MAPENZI tu yalitosha kufanya mwanamke aishi na mwanaume sasa hivi hali ni tofauti kabisa. Wanawake sasa wanataka HELA, MAGARI, MAJUMBA MAZURI, WAPELEKEWE MOTO NA TUWE NA MUONEKANO WENYE MISULI SURA KAMA ZA KINA HEMED PHD. Yaani utafute hela za kuweza kumiliki MAJUMBA na magari, bado uende gym, upake na mkongo, na bado ushinde saloon upendeze hivi haya yanawezekana kweli?

Na wanawake wanajua kufanya PROMOTION. Wakitaka jambo, wataliimba, watalisifia, watalisema kila mahali ili mradi lengo litimie. Kwa sasa ni Kama wanawake ndiyo wanaoongoza nchi. Wanaume tumekufa akili kabisa hatuna ujanja. Kisa! Tunataka ngono.

Ni wanawake wameyaharibu maumbile yao (K) na kuyafanya kuwa makubwa na yenye SUGU, kwa sababu ya kubadilibadili wanaume, kutumia toys na kujichua, sasa hawaridhiki kirahisi. Badala ya kubadili mienendo yao wanatulaumu sisi kuwa hatuwatoshelezi. Wanaume hata bila kufikiri, tuahangaika huku na hiku Kama mazuzu, mala tupake mkongo, mala tunywe dawa tusikojoe haraka, watu wanakimbia barabarani na kwenye ma gym kutafuta pumzi, siku hizi kuongeza "ndushe" imekuwa jambo la kawaida. Yote tunataka kumridhisha mwanamke. Hivi SISI tuna akili kweli? Ndiyo maana siku hizi wanaume tunazeeka haraka kuliko wanawake. Miaka 40 tupo hoi tumekongoroka chakali, miili ilishachoka kabisa.

Nyinyi wanaume wanawake hawajawahi kutosheka. Huwezi kushindanda na ukubwa wa "K". K inatanuka, hata uliongeza ukubwa wa dushe bado inatanuka zaidi kama mwanamke wako ataenda kukutana na aliyeongeza kuliko wewe, ukumbuke hapo anapita mtoto.

Wanataka tuwapelekee moto kwa sababu K zilishakuwa na sugu. Yaani mpaka ajisikie inakulazimu usugue mpaka patake kutoa moshi. Wapo watu unapampu mpaka masaa mawili na bado mechi bilabila. K ilishasuguliwa na vidole vya mkulima tena wa moshi kwenye baridi ikasuguliwa na midoli ya plastic tena yenye vibrator we na kingozi chako hicho tena kinashinda kimefunikwa kwenye joto la Dar utaiweza!

Sisi wanaume tubadilike, hebu tuacheni huu ujinga, kuanzia sasa ukikutana na jike limekomaa K, unalisugua nusu saa halikojoi PIGA CHINI. Unakutana na lijike kila siku mizinga haieleweki PIGA CHINI,( sijasema tusiwape hela, sitaki watuuzie, sitaki watudai, sitaki watutapeli)
Ukikutana na lijike Lina tamaa, limalaya PIGA CHINI.Mwiko wanaume kuchangia demu.

Wanawake wanatusumbua kwa sababu sisi Hatutumii akili. Wakisema "mwanaume mashine" hatutaki vibami" sie mbio gym na dukani kuongeza maumbile. Wakisema wanaume hatutosheki sie mbio, kupaka mkongo, kunywa dawa za kuongeza uvumilivu, au aina fulani za pombe, au ndio tunaanza mazoezi kutafuta pumzi. HATA HATUJIULIZI KWA NINI HAWARIDHIKI.

Kuanzia sasa wanaume tutafute, tujenge majumba ya maana, tununue magari makali, tumiliki miradi ya maana, na hamna kushobokea wanawake. Anataka poa, lakini tusichoshane na tusiibiane. Yaani mwendo inatakiwa uwe wa kunata mpaka wabadilike.

Sisi tumeacha Demand ya wanawake imekuwa kubwa wakati wao ni wengi kwa sababu tunakwenda wanavyotaka. Tumewaacha wao ndiyo wanaamua tuweje. Karibu wataanza kutuoa.

Wanawake punguzeni jamani mtatumaliza. Vibinti vinaua wazee siku hizi maana
 
Maisha yalianza kubadilika baada ya kutoka “making love” kwenda “having sex” na saiv tumehamia kwenye “mapenz ni sanaa”. Kama watangulizi wako waliopita waliitendea sanaa yao vizur wewe hata ufanye nn hutafua dafu.
Ni sawa na kumpandisha jukwaan Koffi Olomide halafu afuate Harmo Rapa
 
Wanawake sasa wanataka HELA,MAGARI, MAJUMBA MAZURI, WAPELEKEWE MOTO, NA TUWE NA MUONEKANO WENYE MISULI SURA KAMA ZA KINA HEMED PHD.Yaani utafute hela za kuweza kumiliki MAJUMBA na magali, bado uende gym, upake na mkongo, na bado ushinde saloon upendeze hivi haya yanawezekana kweli?
Tafuta waleo wasiojua maswala ya Tamthilia, a.k.a Series
 
Mwanaume sasa hivi hali ni tofauti kabisa. Wanawake sasa wanataka HELA, MAGARI, MAJUMBA MAZURI, WAPELEKEWE MOTO, NA TUWE NA MUONEKANO WENYE MISULI SURA KAMA ZA KINA HEMED PHD. Yaani utafute hela za kuweza kumiliki MAJUMBA na magari, bado uende gym, upake na mkongo, na bado ushinde saloon upendeze hivi haya yanawezekana kweli?
HATUWEZI

Vitabu vya dini vimeyuonya sana kuhusu fauna wa kike
 
Imebidi kwanza nicheke mkuu naona una hasira sana aseh ila unachoongea ni kwel mapenzi sikuhizi yamekuwa biashara mnatoka kupeana raha wote mkimaliza mwanamke anataka hela halafu kumbuka ni mwanamke wako na sio malaya wa kumnunua mapenzi yamekuwa pasua kichwa kwa kweli
 
Mnawapa attention sana mpaka wakikohoa mnaitika abee ... !!
Hii kwel kabisa adi maofisin ipo hivyo mimi niliwahi fanya field kampuni fulani walr wprker walikuwa wagumu hawatak kunifundisha ikabidi nikifunze mm mwrnyrwe sasa likaja demu moja hv ina matako aisee ukiikuta io il3 mibivhwa inamfundisha utqcheka yaan mwanamke anathamimiwa duh mpka chai sambusa zq nyama zitaletwa hapo mezan afu ubaya zaid demu mwenyewe kichwa ngumu basi wanatumia mda mwing kumuelekeza
 
Usiteseke sana jombaa, ilishapita kuwa WAKIWEZESHWA, WANAWEZA na hakuna afanyalo mwanaume , mwanamke akashindwa kufanya. Hivyo basi;

Kwenye hiyo mambo, kama unaweza kwenda sekunde 1, naye anapaswa amalize sekunde moja.

Maswala ya magari na vikolombwezo vingine, aje navyo pia, kama elimu alipewa na wazazi wake, hayo magari ama apewe na wazazi wake au anunue tu kwa nguvu zake.

Wanazo pesa za kuwapa sex machines(mario), kununua dildo, na wewe unazo pesa za kununua dada poa, ikibidi iwe hivyo tu.

Kama unataka kupandisha mabega na kujimwambafai, pasuka tu, hamna namna!
 
Hii kwel kabisa adi maofisin ipo ivo mm nilowah fanya firld kampuni fulan walr wprker walikuwa wagumu hawatak kunifundisha ikabidi nikifunze mm mwrnyrwe sasa likaja demu moja hv ina matako aisee ukiikuta io il3 mibivhwa inamfundisha utqcheka yaan mwanamke anathamimiwa duh mpka chai sambusa zq nyama zitaletwa hapo mezan afu ubaya zaid demu mwenyewe kichwa ngumu basi wanatumia mda mwing kumuelekeza
Duuh, unaweza edit mkuu😂
 
Kama tumefika huku bac watuendeshe tu mpka akili itukae sawaa

Screenshot_20210912-111753.png
 
Wanawake wazuri Bado wapo ila shida ni kariba ya wanawake unaowataka we mtoa mada,

Mwanamke anabeti,

Mwanamke yeye na tamthilia, handsome wa mule anataka ufanane nao

Mwanamke anazijua ligi maarufu Zote za mpira mpaka NBA.duh...!!!!

Mwanamke applications za kijanja kwenye simu Zote anazijua, we Bado unae tu, Tena unamtaka usiku mwema akiwa kwenye kifua Cha mwanaume mwingine

Mwanamke anataka gari, huku yeye Hana mradi Wala chanzo chochote Cha kipato, we unae tu.

Wives materials wamejaa, achaneni na haya maua ya mjini, mnapata depression bure.
 
Back
Top Bottom