Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,388
2,000
Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000

Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
 

Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
3,683
2,000
Muelewe!zama za kupambana na ukimwi zimeisha!sasa dunia inaelekeza nguvu kwenye corona!!!Ni kana kwamba ukimwi haupo na umedhibitiwa na ARVS na rate ya maambukizi imepungua kabisa!
Corona ilikuwa ni ajenda ya Freemason kuvuna idadi ya watu inaowataka kuzimu plus kushusha uchumi wa dunia Ili wapitishe ajenda zingine ikiwemo mabadiliko ya tabia za nchi. Soon awataupa tena airtime na itaishia hivyo hivyo ujio wa chanjo na kutimia kwa malengo yao awatoupa tena airtime.
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
5,094
2,000
Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa..a pack of 3 per 1,000.
Kulikoni? au Kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Watu wamegundua HIV siyo kitu ya kutisha na wanaishi na wale wadudu kama sehemu ya mwili wao,hivyo basi mauzo yamepungua na wafanya biashara wanazipotezea maana watu sasa hv wanakulana nyama nyama ni majuzi hapa ndo madaktari wao wenyewe ukiongea nao kirafiki wanathibitisha kwamba mtu anayekunywa dawa kwa muda kitambo hawezi kumuambukiza mwingine HIV,ugonjwa biashara na hofu sasa unaishiria ukingoni
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
17,563
2,000
Corona ilikuwa ni ajenda ya Freemason kuvuna idadi ya watu inaowataka kuzimu plus kushusha uchumi wa dunia Ili wapitishe ajenda zingine ikiwemo mabadiliko ya tabia za nchi. Soon awataupa tena airtime na itaishia hivyo hivyo ujio wa chanjo na kutimia kwa malengo yao awatoupa tena airtime.
Duh!"Filimasoni" tena?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,388
2,000
Muelewe!zama za kupambana na ukimwi zimeisha!sasa dunia inaelekeza nguvu kwenye corona!!!Ni kana kwamba ukimwi haupo na umedhibitiwa na ARVS na rate ya maambukizi imepungua kabisa!!!
this could be sensible!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom