Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be solved - maybe we can change the problem so that the list is kept ordered?”
Or sometimes the problem...
Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia.
Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole.
Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error.
Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini?
Kwa kweli nmekosa nimjibu nini huyu jamaa fala kabisa. Hataki kuchanjwa na wakati namwona mwilini...
Au sisi wengine ni washamba jamani?
---
Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo
===
Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini:
-...
Habar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu..
Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika.
Mfano mimi binafsi nilijua viongozi wa chama chake wangewaongoza wafuasi wao nchi nzima wafanye mgomo wa kula, kunywa...
Wasalaam.
Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news
==============
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi.
Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha. Kila kukicha analaumiwa, kabuni kodi za ajabu ajabu tu. Mara ukiongeza salio kodi, ukitumia mobile...
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?
Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport?
Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha!
Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo...
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa...
Kwa nijuavyo mimi siasa ni mchezo wa kusoma vizuri alama za nyakati, tangu wanasiasa wakomavu hata wachanga hutafuta mambo mazito na magumu anayokabiliana nayo mwananchi siku kwa siku.
Hayo mambo ndiyo hutangulizwa mbele kuwa chambo cha kampeni yoyote mnayopiga. Nakumbuka kwa mfano CHADEMA...
Simba wachaaawiiiiiii ,miaka minne hatuna ubingwa tuna stress sisi kila siku wachezaji wetu wazuri wanapata majeraha...hayo ni maneno ya LE GENERAL UTO MASTER UTOPOLO muanzilishi wa jina mujarabu kabisa la utopolo
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.