mbeya

  1. babu M

    JamiiForums Tanzania Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

    Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa. Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia. Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini! Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 16 jobs positions at Toyota Tanzania Limited which is opening a new branch in Mbeya

    Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below: 1. Auto Cleaner Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wabunge waitaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia maiti ndugu wanaposhindwa kulipa gharama za matibabu

    Wabunge wametaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia miili ya wanaofariki na ndugu zao kushindwa kulipa gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaofariki badala yake imetakiwa kusamehe. Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mussa Mbarouk wa Tanga wakati wakichangia...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

    Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia. Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake . Mungu ibariki Chadema ===== Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

    This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian. Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi? Authorities kazi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

    Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea. Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

    Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani. Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Madaktari hospitali ya Wilaya Tukuyu wakamatwa kutokana na kutoa huduma mbovu kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ameagiza kuwekwa ndani na kutolewa katika nafasi zao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Tukuyu Bw, Manase Ngogo na Afisa Ugavi Bi. Vumilia Mwaijande kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Dkt. Ndugulile ametoa agizo hilo...
  11. SaidMuhama

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla

    Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla kati ya Mbeya, Ifakara. Tuwasiliane kupitia +255 625 490 405.
  12. okiwira

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza biashara ya CD na vifaa vya simu Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya Ntokela na namba one

    Habari wadau wa Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya ndaga namba one na nitokela hadi uwanja wa ndege. Nahitaji kuwekeza katika biashara ya kuuza CD vifaa vya sola vifaa vya simu na ufundi simu. Vipi nitakuwa nimechagua eneo sahihi la biashara hiyo?
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Katibu Mkuu wa CHADEMA ufanye ziara maalum mikoa wa Songwe na Mbeya

    Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu. Ukifika Kyela tutajitahidi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kazi Mbeya Mjini. Mbunge wake aanza kumimina semina elekezi ngazi zote kwenye kata zote

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji . Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  16. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mitihani yaOFP kwa mwezi January (Nipo tawi la Mbeya)

    Habari wakuu, Mwenye taarifa naomba anijulishe, maana nipo kijijini sana hata Whatsapp hamna
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya: Hatutamvumilia yoyote atakayeharibu mali za chama, kuanzia sasa watakaokodi uwanja wa Sokoine kupewa masharti maalumu

    Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa. Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati. Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

    Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa. Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

    Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson. Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
Back
Top Bottom