Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,169
217,115
Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani.

Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa huku anatazamwa tu na TAKUKURU!

Kwanza Mbeya haijawahi kuwa na masikini hata 100, lakini Tulia kakusanya mashoga zake 3420 halafu anaidhalilisha Mbeya na kuwaita wazee wasiojiweza ili kutimiza mipango yake ya rushwa! Mbeya sio Dodoma. Tulia endelea kugawa rushwa lakini tafadhali usijaribu kuidhalilisha Mbeya.

Mkoa wa Mbeya haujawahi kuwa na idadi kubwa kiasi hicho ya wasiojiweza, huu ni udhalilishaji na nachukua nafasi hii kuwaomba Wazee wa Mkoa wa Mbeya kumuonya Tulia Ackson kuacha kudhalilisha Mbeya kwa manufaa yake ya kisiasa vinginevyo sisi vijana hatutakubali.
 
Erythrocyte,
Nia yake imetimia maana unampigia kampeni. Katika siasa hii imo ya kufanya faulo na watu kama nyie mkaksema hapo bonge la kampeni
 
Atapata faida gani baada ya kufanya mbinu zake za ovyo za kutwa Jimbo kumkosoa sugu kwa kujifanya kusaidia jamii ya wanna mbeya
 
Erythrocyte,
Nia yake imetimia maana unampigia kampeni. Katika siasa hii imo ya kufanya faulo na watu kama nyie mkaksema hapo bonge la kampeni
Bora kusema ukweli,hiyo ni rushwa na hakuna tafsiri nyingine.Watu wafahamishwe ya kuwa hiyo inaitwa rushwa ila kama itampa Promo ni jukumu LA kila mtu including wana wa Mbeya(wapiga kura) kuchuja makapi wakati wa uchaguzi husika.

Bahati mbaya TAKUKURU wamelala kama vile hawaoni wala kusikia.Rushwa inayopigwa vita ni ile isiyoifadisha CCM na watu wake na masalhi yao na chama chao.Inasikitisha mno.

Watanzania tudai Katiba ya Wananchi itakayoondoa maigizo katika Nchi Yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom