Ushirikiano: Mbunge wa Mbeya Mjini ashiriki usafi Soko la Sido, anywa chai ya rangi na masela, awahutubia wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,678
218,188
Subpost 4 - MBUNGE akizungumza na WAFANYABIASHARA wa soko la SIDO baada ya KUSHI ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 5 - MBUNGE akizungumza na WAFANYABIASHARA wa soko la SIDO baada ya KUSHI ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - MBUNGE akizungumza na WAFANYABIASHARA wa soko la SIDO baada ya KUSHI ( 640 X 640 ).jpg


=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Mbeya huwa napatembelea sana, lakini nadhani ni mwaka huu, jamaa kaanza hayo maigizo. Sijawahi kumkuta pale stendi kuu wala Mwanjelwa pale sokoni 2018,2019.
Sasa kama huwa unapatembelea sana ndiyo ulitarajia uwe unamkuta Mwanjelwa? Na kwa sababu tu haujawahi kumkuta pale basi ndiyo uthibitisho kwamba anaiguza wakati huwa haendi?
 
Hapo story ni ipi?
Kushiriki usafi? Kunywa chai ya rangi? Au Kunywa Chai rangi na masela?
 
Back
Top Bottom