mbeya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

    Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa. Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

    Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson. Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

    Naandika malalamiko haya nikiwa ni mmoja wa wahanga wa hili. Mimi ni daktari ambae nimemaliza mazoezi ya vitendo "internship" katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Mbeya Zonal Referral Hospital). Madaktari bingwa kutoka baadhi ya idara katika hospitali hii wamekua na tabia chafu ya kudai...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Abiria wa mabasi ya mikoani hasa Dar - Iringa - Mbeya wanakula chakula kibovu. Mamlaka ziingilie kati

    Baada ya makala ya uchafu kwenye mabasi ya njia hii iliyofuatiwa na makala ya abiria kusafirishwa kama wafungwa , sasa nimewaletea makala ya vyakula wanavyolishwa abiria hawa wenye uchovu na njaa, na ambao wamepewa dakika 10 tu za kula pamoja na kuchimba dawa. Natambua kwamba zipo makala...
  7. simon baker

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda na Godoro vyote vipya vinauzwa mbeya (4*6) 150k

    Habari... nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)... bei 150k fixed... karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane 0742900511
  8. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua duka la vitabu vya Hisabati vya kidato cha tano na cha sita Jijini Mbeya

    WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Abiria wa mabasi ya mikoani hasa Dar es Salaam, Iringa, Mbeya na Tunduma ni kama wafungwa

    Tangu Scandinavia iondoke barabarani kwa kweli abiria wa njia hii wanasafirishwa kama wafungwa, hakuna utaratibu unaeleweka mkiwa safarini. Kwa mfano, haieleweki abiria wanakula hoteli gani, wala haijulikani hata abiria anatakiwa kula kwa dakika ngapi, basi inasimama kwenye hotel yoyote ambayo...
  10. Freightliner

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU pitieni Mkapa English Medium ya Mbeya imetawala rushwa

    Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili. Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo. Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Government Jobs at Mbeya Water Supply and Sanitation Authority (Mbeya WSSA)

    Mbeya Water Supply and Sanitation Authority (Mbeya WSSA) is an autonomous water supply organization mandated to provide water and sewerage disposal services within the urban area of Mbeya city. It was established in January 1998 under section 3(1) of Act No.8 OF 1997. repealed by Act No.12 of...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  13. CORAL

    JamiiForums Tanzania Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
  14. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu nautafuta, uliimbwa siku ya kusimikwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Mbeya April 2019

    Kwa aliye nao, tafadhali naomba anisaidie. Ni huo unaoimbwa mwanzoni mwa clip hii!
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa halmashauri watii agizo la Rais Magufuli

    Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019. DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
  17. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
  18. idawa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya. Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida. Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza...
Back
Top Bottom