GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
 
Kwa hapo Mbeya ni zote tu,kule mbalizi kwa wasafwa,hapo magorofani,kule uzunguni,hapo soweto zote hizo zinaendeshwa na wageni
 
Acha apewa huduma zilikuwa mbovu sana. Tunabahtisha sana wabongo.

Imagine ungekuwa wewe ndiye mmiliki. Kama analipa kodi, huduma zipo vzr,wewe nenda kalale zile za mameneja wabongo.

Kuna kundi la wahasibu, usiombe hawa wabongo asee wakuandalie hesabu,ipo siku TRA watakudai kodi kama ile ya ACCACIA. Wao wanatazama fedha tu,ila ubora wa kazi hakuna ni ujanja ujanja wanamalizana na TRA vitu vikisanuka kama hawajui.

Watu wameamua kuwaajiri wahindi tu. Mambo yanaenda safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya mh Rais hayafuatwi.
Unajua kiingereza?! Lugha baba, mmalawi au mzambia hata kama ameishia la pili ila kama anatema yai anakuwa bosi wako wewe na degree yako ya mlimani/jalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna toto hudumu hapo natafuna mkuu...

jali mambo yako
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya mh Rais hayafuatwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kundi la wahasibu,usiombe hawa wabongo asee wakuandalie hesabu,ipo siku TRA watakudai kodi kama ile ya ACCACIA. Wao wanatazama fedha tu,ila ubora wa kazi hakuna ni ujanja ujanja wanamalizana na TRA vitu vikisanuka kama hawajui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaiaibisha bodi (NBAA) maana wanaoandaa hesabu ni wahasibu ambao wanaotambulika na bodi mkuu
 
Unaiaibisha bodi (NBAA) maana wanaoandaa hesabu ni wahasibu ambao wanaotambulika na bodi mkuu
wafanyabiashara wengi wa kibongo wakiona muhasibu mbongo mwenzao wanaombaga watengenezewe hesabu magumashi .....mhasibu akiwa strict wanamkimbia.. shida hesabu zikibuma huko tra ndo wanaanza kulilia wahasibu wakati na wao waliyataka...
 
Manager wa pale ni mkenya,ni rafiki yangu na alikuwa boss wangu pale landmark tukuyu, (hotel manager,) anaitwa "S" Amefanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania ikiwepo Regency kule mikocheni, akafanya corridor spring hotel arusha,(Kama sales and marketing manager) hotel zilikuwa zinajaa Sana sijui anapataje wageni ila alikuwa na mzungu mmoja kwenye hizo hotel akiwa sales Yule mzee ni marehemu.

Alifanya kazi briefly grand villa, baadaye kuna trainee alikuja field pale land mark bonge akawa anamla. Alipomaliza field akaondoka.

Either mjombaake au ami yake akawa anataka kufungua lle hotel, fatma huyo bonge akamwaambia amlete that guy.

Yule manager amefungua ile hotel na kuifikisha pale ilupo. So many offers zimekuja hata Mimi Mara kadhaa nimempa michongo amekataa. He deserves that position, najua unakitu kingine just tell us what it is tukusaidie. He is a short black guy anavaa miwani.
 
Wivu tu unasumbua. Nimekua nikishuhudia Mara nyingi hata Arusha, hoteli nyingi zinasimamiwa na watu wa nje ,watanzania wengi ujanja mwingi na hatujitumi. Kuiba iba hata visabuni hatuchelewi. Msije mkasema siwapendi wa tz ila mkipewa nafasi wachache sana wanaeza itumia ipasavyo. Hao waasibu wengi wahuni wahuni sikuhizi halafu NBAA wajichunguze....CPA zinatolewa km njugu bhana! Wawe makini sana.

Mtu ana CPA ila hata kuandaa hesabu hawezi mpaka apate kuassistiwaaaa!

Achen wageni wafanye kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia uchawi ndiyo huu:mad:...mleta mada fungua hotel yako ajiri watanzania wenzako...management ya hotel za wenzako wewe inakuhusu nini??chaaaa aaaah

Everyday is Saturday.................:cool:
 
wafanyabiashara wengi wa kibongo wakiona muhasibu mbongo mwenzao wanaombaga watengenezewe hesabu magumashi .....mhasibu akiwa strict wanamkimbia.. shida hesabu zikibuma huko tra ndo wanaanza kulilia wahasibu wakati na wao waliyataka...
Muhasibu akiandaa hesabu anatoa triplicate copy...moja inaenda TRA, nyingine kwa mteja na yeye anabakiwa nayo moja...au siku hizi utaratibu uko vipi.....na yeye hawezi peleka hesabu za magumashi TRA...
 
Manager wa pale ni mkenya,ni rafiki yangu na alikuwa boss wangu pale landmark tukuyu, (hotel manager,) anaitwa "S" Amefanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania ikiwepo Regency kule mikocheni, akafanya corridor spring hotel arusha,(Kama sales and marketing manager) hotel zilikuwa zinajaa Sana sijui anapataje wageni ila alikuwa na mzungu mmoja kwenye hizo hotel akiwa sales Yule mzee ni marehemu.

Alifanya kazi briefly grand villa, baadaye kuna trainee alikuja field pale land mark bonge akawa anamla. Alipomaliza field akaondoka.

Either mjombaake au ami yake akawa anataka kufungua lle hotel, fatma huyo bonge akamwaambia amlete that guy.

Yule manager amefungua ile hotel na kuifikisha pale ilupo. So many offers zimekuja hata Mimi Mara kadhaa nimempa michongo amekataa. He deserves that position, najua unakitu kingine just tell us what it is tukusaidie. He is a short black guy anavaa miwani.
Msalimie Sana Sammy,he is gud guy,very friendly...
 
Back
Top Bottom