Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.

Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.

Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini!

402CC0D7-0807-4451-BC7B-BF7F69C6133A.png


Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.
 
Mkuu, ungemuuliza Harmonize mwenyewe bila shaka angekueleza sababu za show yake kuzuiwa. Au RPC anaweza kuwa na majibu. Namba zake zipo kwenye tovuti ya jeshi la polisi. Kama una tetesi zingine lete
Mkuu, yeye ameandika hivi, “Sijabahatika kupewa sababu ni nini”.

Tumeona mara nyingi JF imekuwa inapata bahari hata kabla ya wahusika. Ndio kilichonifanya kuleta hapa?
 
Back
Top Bottom