Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .
Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
Na Thompson Mpanji,Mbeya.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19.
Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona, ukisomeka, " Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake".
Jeshi la Polisi...
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya.
Source ITV habari.
My take; Tukio hili...
Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji.
-Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering.
-Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB
-Ajira ni ya Mkataba wa miezi 4 hadi 6.
-Uzoefu miaka mitatu nakuendelea wa kusimamia barabara.
-Mshahara kulingana na Maelekezo...
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini...
Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu
Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge...
Singida United waliokuwa wanatajwa kwa jina la ' Wa Mochwari ' hasa baada ya kuangushiwa kipigo cha mabao 8 - 0 na S.S.C leo wamepiga chafya baada ya kuivurumisha Mbeya City 2 - 1 . Hii ni warning kwa wale wanaofikiri watapata kitonga wakikutana na Singida.
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya...
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya Rungwe, Busokelo na Kyela katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu.
"Nimekuja Mbeya kwenye ziara ya...
Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani.
Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi.
Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo ambako atapokea wanachama wapya wa chama hicho kutoka Chadema.
Ziara hii imekuja baada ya jana kufika...
Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake
Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na:
1. Airport Rangers (Kata ya Iyela)
2. Stone fire (Maaga)
3. Iganzo fema club (Iganzo)
4. Iwambi FC (Iwambi)
5. Iyunga boys (Iyunga)
6. Itende FC...
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu.
Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
Ukweli ni kwamba alilolipanga Mungu hakuna mwanadamu awezaye kulipangua , Mbeya ni ya Chadema na itabaki kuwa ya Chadema tu
Pichani ni wajumbe wa mkutano huo maalum wa jimbo la Mbeya Mjini
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.