Tunakuomba Katibu Mkuu wa CHADEMA ufanye ziara maalum mikoa wa Songwe na Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,099
Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu.

Ukifika Kyela tutajitahidi kukupeleka kata zote na baada ya ziara hiyo nitakueleza sababu za mimi kukutaka utembelee maeneo hayo.

Natanguliza shukrani.

Anaandika Godbless Lema (MB)  Tarehe 5 Jan 2011,Tulifanya maandamano ya kupinga  ( 640 X 640 ).jpg

Picha hii haihusiani na uzi huu bali nimeiweka kwa lengo la kuwakumbuka raia wasio na hatia waliouawa tarehe kama ya leo huko Arusha.
 
Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu.

Ukifika Kyela tutajitahidi kukupeleka kata zote na baada ya ziara hiyo nitakueleza sababu za mimi kukutaka utembelee maeneo hayo.

Natanguliza shukrani.

View attachment 1313221

Picha hii haihusiani na uzi huu bali nimeiweka kwa lengo la kuwakumbuka raia wasio na hatia waliouawa tarehe kama ya leo huko Arusha.
Hujui ofcni kwake pale ufipa?
 
Back
Top Bottom