mbeya

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

    Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lakamata watuhumiwa wa tukio la mauaji, akiwemo Polisi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa...
  3. okiwira

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ninachokiona Mbeya Mjini 2020

    Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye. 1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni. 2. Atakuwa spika kwa uchochoro wa Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

    Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
  5. Guru Master

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

    Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli. Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

    Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
  7. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

    Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

    Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
  9. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya CHADEMA au kuna jambo limejificha?

    Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele. Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya bhukile : Mabaraza ya Majimbo yaanza kuwahoji watia nia kwa lengo la kuchuja pumba na mchele

    Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata wagombea bora wasio mamluki .
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Mmoja afariki na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Hiace na Lori la mafuta

    Kumetokea ajali asubuhi ya leo Juni 07, 2020 katika eneo la Mbembela jijini Mbeya iliyohusisha gari dogo la abiria aina ya Hiace, lori la mafuta, lori la bidhaa na Bajaji. Katika ajali hiyo Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa baada ya lori hilo lililokuwa limebeba mafuta kufeli...
  13. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya waweze Mwanza mshindwe?

    Iweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni) Sio wote tuna uwezo wa kukwea mwewe jamani. wekeni coaster jioni jamani walau mara 2 kwa wiki! Wadau wa usafirishaji hii imekaaje...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya ateka Mafarisayo mchana kweupe

    Katika hali ya kushangaza ulimwengu, mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Chalamila, amekusanya mafarisayo na masadukayo kuiombea na kuzindika ujenzi wa ofisi mpya Toya mkuu wa mkoa baada ya ile ya awali iliyojengwa na Wajerumani mwaka 1952 kuvunjwa. Maajabu ni pale Sadukayo mmoja alipokuwa akisali...
  15. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya Singida - Mbeya route Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku. Amemalizia kwa kusema Mbeya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya yalaumiwa kwa kukosa utaifa

    May 15, 2020 MWASISI wa shirikisho la Vyuo na vyuo vikuu, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna amesema Jimbo la Mbeya kuendelea kushikiliwa na chama pinzani ni kutokana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuweka...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

    Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi . Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Na Thompson Mpanji,Mbeya. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
Back
Top Bottom