mbeya

  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

    MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  5. Selwa

    JamiiForums Tanzania Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne yamenikumbusha wakali hawa wa mwaka 2005 kutokea kule Mbeya

    Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001. Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  12. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Msaada location chuo cha Uandishi wa habari Mbeya

    .
  13. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  14. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Rungwe azindua Zahanati ya Ilenge, aonya wanaokiuka maadili ya kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua Zahanati ya Ilenge iliyopo katika Kata ya Kyimo ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya afya karibu na Makazi yao, Januari 5, 2024. Akizindua Zahanati hii, Haniu amewashukuru Wananchi kwa ushirikiano waliouonesha katika...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wamiliki wa Shule watakiwa kuhakikisha 'School Buses' zikakaguliwa na Polisi kabla ya kubeba Wanafunzi

    Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Mrakibu wa Polisi SP Hussein Gawile amewataka wamiliki wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kuhakikisha magari yao (School Buses) yanakaguliwa na wakaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi kabla ya kuanza kufanya kazi ya kubeba wanafunzi. Rai...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson afanye nini wananchi wa mbeya wamwonee huruma? Amefanya matamasha mengi ila Wanyakyusa wamemkazia

    Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu. Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
Back
Top Bottom