Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanya katika wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi.

#EastAfricaTV
 
Hatari Kinyama!
 
Back
Top Bottom