Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
 
Dunia ya Leo habari bila picha au video clip sw na takataka Tu

Mkeka wa Mbeya-Tukuyu ni moja ya mikeka imara sana ndani ya mipaka ya Tanzania.

1000079955.jpg

1000079953.jpg
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali......................... Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Sehemu ambazo gharama za maisha ziko chini sana ujue mzunguko wa pesa uko chini pia.
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali......................... Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Wewe umeona vyakula hujaangalia fulsa za kiuchumi ndo mana unawashangaa wanaokimbia kwao. Nakuhakikishia mandhari nzuri sio pull factor pekee yakukufanya usifie sehem tunachoangalia ni mzunguko wa maokoto. We huoni dar jiji chafu linanuka watu wameshonana Hali ya hewa mbaya lkn watu wanazid kumiminika tu
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Mkuuu ushawai kufika Karagwe Mkuu
 
Mada safi shukraani mtoa mada ila Tia nyama zaidi, maana Nami nilibahatika kufika Lushoto last December yooooo it knick my socks out, Tukuyu nilifika huko miaka mingi iliyopita,kwenye michezo ya vyuo vya ualimu kanda ya nyanda za juu,kwa sasa utanifanya mkuu nifanye detour kule, ahsante sana
 
Back
Top Bottom