Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema,
"Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024"
CHADEMA imesema mabadiliko hayo yamekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela kuwaeleza kuwa Uwanja wa...
Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani.
Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka.
ANGALIA VIDEO HAPA
Unahisi kijana huyu...
ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao.
Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
Zifuatazo ni Failed Mission ya Majaribio au Kuanza Kwa Kutumika SGR..
Kipi Kifanyike..
Februari 2019 - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alisema safari ya kwanza ya SGR itaanza Novemba, 2019.
Januari 2021 - Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga...
Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.
Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.
Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
Huku gongo la mboto siku mbili mfulilizo hakuna umeme mpaka Sasa. Halafu nchimbi anawaalika eti wapinzani waemde kuzungumza kwa hoja.
Dunia ya Leo mnakatiwa umeme siku mbili na Bado ukiwabia watu waandamane waungane na chadema wanakwambia ccm bele kwa mbele. Aise sisi waafrica tumelaaniwa na...
Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu.
Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na...
Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao.
Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao.
Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi.
Hata kama wananchi...
Bandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele.
Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo.
Kwa nini?
Mhubiri 3:11
Kila kitu...
Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za...
Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi!
Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote,
Ghafla likazuka hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.