Nyakati ngumu mbele yetu ila tusikubali kurudi nyuma kamwe!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Wasalaamu wadau wa JF,

Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele.

Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo!

Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo mifano ya waliojitolea kwa ajili ya Taifa, kamwe hatutoweza kuwasahau wao na vizazi vyao.

kama Taifa tusiogope na wala tusiyumbishwe na tukio lolote kubwa no matter what.

Kama Taifa tusimame siku zote na viongozi wetu kwani wanatupenda,wanapitia mengi kwa upendo wao wanazuia mengi kwa minajili ya Taifa letu ..wanajitoa ikibidi kufa kwa ajili yetu.tuwaheshimu.

zipo nyakati wanaingia,wanalazimika kuingia au wanalazimishwa kuingia kwenye matatizo kwa ajili yetu, tutambue haya lakini tuyaweke kwenye rekodi for future revenge.

Kama Taifa lazima tuje na mkakati wa miaka 2000+ ambao utajadiliwa kitaifa na kupewa baraka.hii itafanya yoyote anayeingia kufuata...yoyote anayeondoka atamuachia anayefuata ili afuate dira hiyo (maagano ya kitaifa).

Kitila mkumbo na wenzako achaneni na theories bali kaeni chini mje na document mama ya kuendeleza Taifa kwa miaka 2000+ ijayo.document hii iishi kwa miaka ninayopendekeza.piteni kwa wananchi mpate maoni na maono.

Sarakasi za walami tunazijua,sarakasi za dunia na majirani tunazijua.hata hivyo sisi kama watanzania watanzania lazima tuweke counter offensive plan ya Sarakasi zote.sisi kama TAIFA lazima tujiwekee malengo ya kuitawala dunia kwa kutumia utamaduni wetu, mazingira yetu ,karama zetu na uspecial wetu wa kuwa ni Taifa lililowahi kuwa na mtu wa kale duniani.

Lazima sasa tuje na mpango unaoonesha kuwa sisi ndio TAIFA LA MUNGU.

Kamwe tusikubali na tusitoe mwanya wa kukubali kwamba sisi ni wa pili au dhaifu.

Lazima tuweke mpango wa kitaifa wa kuitawala dunia na viunga vyake. (Uwezo huu tunao na tumepewa )
Najua tunaweza kuwa na tukio au matukio kadhaa ya kutodhoofisha/ kututisha kama TAIFA ...Kamwe tusiogope na zaidi ili kuonesha ubora wetu tujifunze na kujipanga kutokana na matukio hayo.

Tujione Paka mwenye akili ya kutomla panya mwenye mimba japo ana njaa.

Kwako Rais Samia wewe ndiwe jemedari mkuu kwa sasa katika Taifa ....unayetakiwa kupitia maswahibu yote hata kama ni ya kipekee.

Kamwe usiogope hata kama ni kifo lakini fanya na tenda kwa hisani ya Taifa. Unaweza kukosea japo si dhamira yako,unaweza kudanganywa ...unaweza kutishwa kihuni au kiutaratibu lakini keep intact on your instincts as the president.usikubali tukio lolote liwe la matisho,kupumbaza,kushinikiza n.k.

just stay on you course kitu kikubwa unachoweza kuitishiwa nacho ni kifo au kifungo au udhalilishaji...yote haya huwapata viongozi na watu wa kawaida muda wote. Kwahiyo its not a big deal. Wewe fanya yako no matter what wapo watakaokulinda, wapo watakaokusemea, wapo watakaokuepusha, wapo watakaokukumbuka, wapo watakaokuiga na wapo watakaondeleza mazuri. Pia wapo watakao kengeuka dhidi ya falsafa zako kimsingi wapo watu wa aina zote kuhusu wewe.

La msingi hapa ni kupush for bigger sustainable agenda for our beutifully Tanzania.This message should be sent to all our enemies and competitors that Tanzania is there to stay and conquer forever despite all setbacks.

Message to our enemies...We have plan A, B, C na zaidi ya Z.LETS PLAY THISI GAME!AND THE GAME IS ALWAYS ON AND WILL CONTINUE TO BE ON!

2025 bado ni Samia iwe jua au mmvua

KWA HISANIA YA MTU WA TANZANIA!!!!
 
Duh

Mikono ni ya Esau lakini Sauti ni ya Yakobo

Ujumbe umeshiba kweli kweli

Nakumbuka maneno ya mwisho ya Shujaa Magufuli pale St Peters " ... ndugu Zangu Wakristo najua Kwaresma imefika mimi sitaweza kufunga lakini nawaombeni Mfunge na mniombee"
 
Duh

Mikono ni ya Esau lakini Sauti ni ya Yakobo

Ujumbe umeshiba kweli kweli

Nakumbuka maneno ya mwisho ya Shujaa Magufuli pale St Peters " ... ndugu Zangu Wakristo najua Kwaresma imefika mimi sitaweza kufunga lakini nawaombeni Mfunge na mniombee"
najua unajua na unaelewa ...karibu comrade
 
Back
Top Bottom