sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote,
Ghafla likazuka hili jinamizi mithiri ya mchicha lakini hali ya sasa ni mbaya maana limetandaza mizizi yake vichwani mwa vijana wa kizazi cha sasa, njia za kutandaza jinamizi hili ni kupitia bongo fleva, komedi, muvi, magroup ya mtandaoni, n.k.
Imefikia hatua ya kwamba mwanaume akiwa na kibamia anaishiwa konfidens kabisa kwa kujua wazi kabisa hata awe mtanashati, hata awe na pesa, hata awe na mvuta, anahisi umbile litamtia aibu, ni hali inayojenga depression kwa vijana wa kiume, akili imesetiwa tayari na hii propaganda chafu kwamba umbile dogo ni kilema chenye kutia aibu.
Nao mabinti wamekuwa enforcers wakubwa sana wa hii propaganda, imekuwa ni moja ya silaha kuu za kumshambulia na kumdhihaki mwanaume, hata pale wanapozaa watoto wa kiume huhesabia ukubwa wa maumbile kuwa zawadi ama laana kwa mtoto.
Hata kwa wale ambao picha zimevuja mitandaoni suala la kwanza limekuwa kucheki umbile, ikiwa ni umbile dogo huwa ni aibu sana lakini likuwa umbile kubwa hata muhusika haoni aibu vido yake kuvuja na mabinti wanakosa pa kumchekea.