Serikali itoke mbele iseme imefilisika

mkadiriaji majenzi

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
260
559
Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).

Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.

Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano. Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana. Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.

Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
 
Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.

Chapa kazi Mkuu,miaka haifanani huu ni mwaka wa El Nino pesa nyingi Iko kwenye miradi ya emergency na maintenance
 
Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Hali mbaya ,si unaona
Kila siku tunakopeshwa matrilioni toka world bank na IMF ?
 
Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Baba unaikimbiaje familia kisa huna hela??
 
Back
Top Bottom