mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. safuher

    JamiiForums Tanzania Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga. Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.

    Police Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Toleo la GTA6 kusogezwa mbele hadi mwaka 2026

    Kama wewe ni Mpenzi wa kucheza GTA na umekuwa ukiisubiria kwa hamu GTAVI ningependa kukwambia kuwa huenda muda wa kutolewa GTA6 ukasogezwa mbele hadi mwaka 2026. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali sababu inayotajwa kupelekea GTA6 kusogezwa mbele ni matatizo ya Production. ✍️Mjanja M1
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msipoleta Katiba Mpya, mtatuletea Utawala wa Jeshi huko mbele

    Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao. Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao. Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna mitazamo ya kuona mbali

    Mimi najua mtu ukiashapata pesa huwezi kushaurika wala kukubaliana na wenzako uliowapita, hili ni kwa asilimia kubwa ya matajiri wanaozidi kuongoza gurudumu. Kisa kilicho nileta hapa kuna jamaa alisikia tetesi ile nyumba inauzwa muda wowote ila kutojulikana siku, yeye akachukua maamuzi ya...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  8. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  9. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Yanga, siwaoni humu watani

    Yanga kunani? Siwaoni humu watani. Mpo kimyaaaaa 🤣🤣 Watani, nasikia feisal anarudi jangwani 🤣🤣🤣 WAZEE WA MABLICHI. 🤣🤣🤣🤣
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni. Nimebaini hawa watu si waganga wala...
  11. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea iwapo uko mbele ya hakimu aliyekushuhudia ukivunja sheria, ila ushahidi aliyoletewa kwa ajili ya kukuhukumu unaonesha hauna hatia?

    Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni. Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi. Nimelelewa na kukuzwa kwenye familia ya Wasomi wa kati, wote walikuwa wafanyakazi wa serikalini. Mtazamo wao kuhusu maisha ni kusoma...
  13. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali rekebisheni za chaguzi vizuri twende mbele kama nchi!

    Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka sheria nusu nusu na kuendeleza majibizano, maandamano na fikra kwamba chaguzi sio huru. Raisi samia...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

    Simba kuwapa watu dozi nzito ni kawaida yake, kama kuna timu yeyeto hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita upite mbele.
  17. Brightly

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Habarii ndugu zangu Wana jf,Ni muda Sasa nimekuwa nikifanya sex under performance yaanii chini ya dakika mbili tayarii nakuwa nimeishamaliza na hunichukua Hadi dakika 15 au zaidi kurudia round ya pili ambayo huwa ya mwisho na yenyewe pia huaga naenda haizidii dakika labda mara moja moja huwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Usijisifu kumfanyia mtu ubaya mbele za watu

    Kama umepanga kulipiza kisasi kwa adui yako basi panga kimya kimya; kisasi hiko usije kuanza kuropoka maneno mabaya mbele za watu. Kuna Matukio mawili nayakumbuka. La kwanza tulikuwa tunakunywa sehemu sasa watu wawili maadui wakaanza kuzinguana mmoja anaanza kumwambia mwenzake nitakuua wewe...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

    Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni. Hii ya kutembea na kuaminisha watu kwamba hakuna lililofanyika nadhani si sahihi. Unaita mtumishi mmoja, ana...
Back
Top Bottom