masoko

Kilwa Masoko is a port town on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. Kilwa Masoko is the current major town of Kilwa District and includes all the hotels in the area as well as a bustling market, beautiful beaches, small fishing communities and is the gateway to the ruins of Kilwa Kisiwani. On nearby Kilwa Kisiwani island there are ancient Swahili ruins which were declared a UNESCO World Heritage Site in 1981.
The hotels in Masoko are spread along the coastline but there is a group close to town on JImbiza beach and the newer hotels are on the beautiful Masoko Pwani.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya masoko au mauzo

    Hello wanabodi. Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT) Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo ya masoko na mauzo Kama una biashara pia naweza kukutafutia masoko au wateja nipate kamisheni...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
  7. JamiiForums Tanzania Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  8. JamiiForums Tanzania Masoko Kuungua ni Uzembe wa Mamlaka

    Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi. Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita...
  9. JamiiForums Tanzania Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

    Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  13. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  14. JamiiForums Tanzania Uchafu na harufu mbaya machinjio ya kuku

    Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo. Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa. Kukiwa na mvua au...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Masoko Mahalia (Local Real Estate Markets)

    Utangulizi Soko mahalia ni jumla ya shughuli za kununua na kuuza viwanja, mashamba na majengo ndani ya eneo husika. Soko mahalia la wilaya ya Mbeya mjini hutofautiana na wilaya yoyote iliyo nyanda za juu kusini. Soko mahalia kwenye wilaya moja ni tofauti kabisa na soko mahalia kutoka wilaya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

    Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli. Leo Ac...
  17. JamiiForums Tanzania CCTV Camera zafungwa Soko la Mchikichini Karume (Dar) kubaini wanaochoma moto masoko

    Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
  18. JamiiForums Tanzania Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

    Habari Wakuu. Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo. Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  20. JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…