Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,609
Habari Wakuu.
Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo.

Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni Yuan tu.

Huenda pia ukawa unahitaji Yuan nje ya kufanya manunuzi just unahitaji kutuma pesa China.Basi nipo kukusaidia.

dl.beatsnoop.com-low-1695283213.jpg

Faida za kununua Yuan kwangu
1.Malipo utanitumia kwa njia za malipo za Tanzania (Mitandao ya simu au bank au cash ofisini.
2.Nakamilisha malipo ndani ya dakika 5 tu.
3.Nitakusaidia kufanya manunuzi 1688 bila gharama za ziada.
4.Huduma 24/7
5.Bei rahisi
6.Tunakulipia supplier wako (Alipay)
7.Tunakulipia Oda yako (Pay For Me)
dl.beatsnoop.com-low-1695283012.jpg

Zingatia:Viwango vya pesa hubadilika kila kipindi hivyo utafahamishwa kila utakapohitaji kununua au waweza angalia viwango wa crdb ndio huwa tuko sawa nao kwenye SELLING

Wasiliana Nami
Whatsapp 0713055107
Ofisini Morogoro Mjini Mtaa Wa Konga

UNAWEZA JIONEA HAPA CHINI BIASHARA AMBAZO NAWEZA KUKUSAIDIA KUAGIZA KWAKUNUNUA YUAN KWANGU
1.Biashara soksi aina zote China
2.Biashara ya chupi na sidiria mpya na mtumba
3.Biashara ya jezi
4.Biashara ya viatu
5.Biashara ya pochi size 2
6.Biashara ya jeans za kike
 
Nikihitaji account ya alipsy nami nitunze yuan zangu utanissidisje
mbona ni bure tu nenda kwenye website yao jisajili......ili kuweza kupokea pesa utahitajika kuithibitisha ...just follow instruction zao tu hatua kwa hatua
 
Habari Wakuu.
Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo.

Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni Yuan tu.

Huenda pia ukawa unahitaji Yuan nje ya kufanya manunuzi just unahitaji kutuma pesa China.Basi nipo kukusaidia.

View attachment 2756871
Faida za kununua Yuan kwangu
1.Malipo utanitumia kwa njia za malipo za Tanzania (Mitandao ya simu au bank au cash ofisini.
2.Nakamilisha malipo ndani ya dakika 5 tu.
3.Nitakusaidia kufanya manunuzi 1688 bila gharama za ziada.
4.Huduma 24/7
5.Bei rahisi
6.Tunakulipia supplier wako (Alipay)
7.Tunakulipia Oda yako (Pay For Me)
View attachment 2756878
Zingatia:Viwango vya pesa hubadilika kila kipindi hivyo utafahamishwa kila utakapohitaji kununua au waweza angalia viwango wa crdb ndio huwa tuko sawa nao kwenye SELLING

Wasiliana Nami
Whatsapp 0713055107
Ofisini Morogoro Mjini Mtaa Wa Konga
Okay
 
Back
Top Bottom