masoko

Kilwa Masoko is a port town on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. Kilwa Masoko is the current major town of Kilwa District and includes all the hotels in the area as well as a bustling market, beautiful beaches, small fishing communities and is the gateway to the ruins of Kilwa Kisiwani. On nearby Kilwa Kisiwani island there are ancient Swahili ruins which were declared a UNESCO World Heritage Site in 1981.
The hotels in Masoko are spread along the coastline but there is a group close to town on JImbiza beach and the newer hotels are on the beautiful Masoko Pwani.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

    Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles! Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo?? Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
  2. Tanki

    JamiiForums Tanzania Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  3. greater than

    JamiiForums Tanzania Yafahamu masoko ya mitaji/uwekezaji yaliyopo Tanzania

    Ifuatayo ni Orodha ya masoko ya Mitaji/Financial markets ambapo unaweza ukafanya uwekezaji 1. HATI FUNGANI Ni soko ambapo muwekezaji anakopesha fedha kwa kipindi cha mda flani huku akipatiwa riba.Kwahiyo Hati fungani ni hati ya makubaliano kati ya mkopeshaji na mkopaji ikiwa na maelezo ya riba...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Masoko imara

    Masoko ni nin? Masoko ni sehemu wanazouza na kununua bidhaa mbalimbali. Tunaweza kutumia njia gani nje na hizi tulizo zizoea kila siku kuimarisha soko la watu wanao uza bidhaa mbalimbali kuanzia watu wa Mashambani ufugaji n.k Njia tulizo zizoea kwenye kuuza bidhaa huwa ni zile zile kila siku...
  5. greater than

    JamiiForums Tanzania Masoko makubwa ya Hisa barani Afrika

    Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,, Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30

    BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
  7. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10

    Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10 Utangulizi Teknolojia ya blockchain ni mojawapo ya uvumbuzi muhimu unaobadili sekta mbalimbali za uchumi duniani. Tanzania, kama nchi inayotaka kujenga uchumi wa kidijitali na endelevu, inaweza kunufaika...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la tatizo la masoko la mazao ya kilomo Tanzania?

    Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
  9. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  10. La3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vitengo vya masoko vya mashirika ya umma na binafsi visimamiwe na wasomi kutoka jamii za wanaojua kuendesha biashara Ili kuongeza ufanisi

    Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa masoko mtandaoni bandarini

    Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki kama vile data, video, na picha, au kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kawaida kama vile nguo, vifaa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta watu wa masoko Arusha

    Habari! Sisi ni chuo tupo Arusha tunatoa kozi mbalimbali zikiwemo za utalii Katika kuhakikisha tunawafikia wanafunzi wengi tumeona ni vyema tuongeze team katika idara yetu ya marketing Kama upo Arusha au mkoa wowote unaweza kuifanya kazi hii tafadhali wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi 0658547794
  13. Top007

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
  14. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hata uwe na masters ya masoko au business ni ngumu kumfikia darasa la nne mwenye ndugu wafanyabiashara wa kumpa uzoefu na connections

    Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba Hajui kutumia mfumo wa kusajili biashara mambo ni mapya kwake hana uzoefu ku negotiate na maafisa wa tra, jiji, n.k...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
  18. guzman_

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
Back
Top Bottom